Mashabiki wa Al Ahly wakishangilia kwenye mazoezi baada ya kupangwa kundi jepesi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

mashabiki wachache wa al ahly wakishangilia baada ya kupangiwa mnyongee simba kwenye kundi lao...

hapo ni mazoezini tu bado kwenye mechi


kwa taarifa tu misimu zaidi ya 20 iliyopita al ahly huwa anafika fainali.. akitoka mapema nusu fainali, robo fainali mara chache sana.. hatua ya makundi kwake ni hatua ndogo sana huwaga anapita kama upepo hata akipanga kikosi cha tatu..

ha ha ha ha watani wa jadi.. kama nawaona mkila wiki misri.. mambo ya brazili kula saba nayaona nayaona

nitawaletea ya algeria,, na wababe wa Congo as vita waliofika fainal mwaka huu caf confederation cup
 
Wewe ukishinda taji la ligi kuu Tanzania bara utapata sh ngapi kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapati hata sh mia, ila atapata nafasi ya kuwakilisha nchi katika michuano ya klabu bingwa ili akachukue kile atakachokipata Simba safari hii. Ligi kuu pamoja Azam federation ni daraja la kuvuka kwenda kwenye michuano ya kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada umeikokotoa vizur hii habari yako
 
Kwa taarifa yako Point 9 tunazing'oa Taifa......halafu tunatafuta sare mbili au moja tu tushamaliza kazi...na kwa taarifa yako pia Tunamhofia AS Vita zaidi Kuliko hao waarabu kwa sababu kihistoria hawajawahi kumuumiza kichwa Mnyama...#Simbanguvumoja🔥🔥
 
Lazima mtakonkiwa konkiwa konkiwa master

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Al Ahly’s new signing Mohamed Mahmoud has revealed that he has rejected three European offers to join the Red Devils.

The 20-year-old has joined Al Ahly from Wadi Degla on a four-and-a-half year deal and will start training with the club starting from next January.

He revealed that he had to reject offers from Dutch giants Ajax Amsterdam, FC Basel of Switzerland, and Bundesliga side TSG 1899 Hoffenheim in order to complete his move to the Cairo giants.

“I rejected three European offers. I received offers from Germany’s Hoffenheim, Swiss side FC Basel, and Ajax Amsterdam, but I opted to join Al Ahly,” Mahmoud told MBC
 
Acha ulofa wa kiakili. Kwan yanga misimu mingap Kawa bingwa hajapata alichokipata simba. 16 bora si ya mchezomchezo boya wee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mburula na atakufa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…