Hayawahusu sio?Sasa yanga inawahusu nini
Kwa taarifa yako Point 9 tunazing'oa Taifa......halafu tunatafuta sare mbili au moja tu tushamaliza kazi...na kwa taarifa yako pia Tunamhofia AS Vita zaidi Kuliko hao waarabu kwa sababu kihistoria hawajawahi kumuumiza kichwa Mnyama...#Simbanguvumoja🔥🔥
Al ahly piģen vibonde hao
Mara paaaaaa Simba anaongoza kundi dadeq [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unahangaika ili upate nn? Ila utaelewa baadaye ukikosa uwakilishiWewe ukishinda taji la ligi kuu Tanzania bara utapata sh ngapi kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unawakilisha wapi mwaka huu ?Wewe unahangaika ili upate nn? Ila utaelewa baadaye ukikosa uwakilishi