Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
- Thread starter
-
- #21
naomba uanachama.
AaaahaaaaHabib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh.
Lengo letu ni kufuzu makundi kwa ushindi mnono View attachment 2744801
View attachment 2744802
View attachment 2744803
View attachment 2744804kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL MERREIKH
Ameona abaki ya username yake Ile Ile,iSafari hii naona umechoka kubadili ID yako kabisa na kujiita El-Merrekh?
Timu langu kitambo sana hili, Asante kwa Uzi
Habib Habib. 3-NIL
Kwenye kutoa kauli hii, wanaongozwa na Kalpana, GENTAMYCINE et el..!!Baadae utasikia "Yanga wamecheza na kibonde".
Hahahahhahhahaha π π πKwenye kutoa kauli hii, wanaongozwa na Kalpana, GENTAMYCINE et el..!!
Tushasema Al Merreck tunacheza kama fainali
Tupo pamoja
Napongeza uzi umeanza mapeeema
Hawa ni zilipendwa, hawana uwezo wa kuwafunga simba au yanga, labda namungo na azamHabib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh.
Lengo letu ni kufuzu makundi kwa ushindi mnono View attachment 2744801
View attachment 2744802
View attachment 2744803
View attachment 2744804kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL MERREIKH
Mbovu, nabi alifukuzishwa na simba akiwa hapoTujibu hili swali kwanza, El-Merrerk ni timu mbovu au inaupiga mwingi?