Mashabiki wa Al Merreikh tukutane hapa

Mashabiki wa Al Merreikh tukutane hapa

Timu langu kitambo sana hili, Asante kwa Uzi
Habib Habib. 3-NIL

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh.

Lengo letu ni kufuzu makundi kwa ushindi mnono View attachment 2744801
View attachment 2744802
View attachment 2744803
View attachment 2744804kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL MERREIKH
Hawa ni zilipendwa, hawana uwezo wa kuwafunga simba au yanga, labda namungo na azam
 
Back
Top Bottom