Mwenye uzi haonekani kijiweni
Kapita sudan mara moja atakujaMwenye uzi haonekani kijiweni
Hahahahaha, ILA YANGA sio watu wazuri ,kuna NYUZI humu watu wamezifungua kwa LENGO la kuponda ila sasa kinachotokea dah ,AIBU ,AIBU sijui wanajionajeLazima akimbie uzi wake….!!!
Carasco Putin njoo huku ule spana za mabegaMwenyekiti upo wapi?
Nimecheka kwa sauti ya 4 "Bass" [emoji851]Unabishana na hili jamaa msimu uliopita wakati Yanga inashiriki shirikisho alibadirisha I'd mpaka akachoka na wote walipigwa hili ni sukule letu la bahati likianza hivi ujue tunawika balaa na msimu huu.
Kweli hili lisukule nimelikumbuka. Lilijipachika majina yote ya timu zilizokuwa zicheze na YANGA.Unabishana na hili jamaa msimu uliopita wakati Yanga inashiriki shirikisho alibadirisha I'd mpaka akachoka na wote walipigwa hili ni sukule letu la bahati likianza hivi ujue tunawika balaa na msimu huu.
Huyu kijana anamuaibisha sana swahiba wangu Vladmir Putin kwa kulitumia vibaya jina lake. Kwa akili zake za kindezi, ni mara 100 angejiita tu Carrasco zelensky.Carasco Putin njoo huku ule spana za mabega
Sahihi kabisa, bora ajiite Carrasco NdeziHuyu kijana anamuaibisha sana swahiba wangu Vladmir Putin kwa kulitumia vibaya jina lake. Kwa akili zake za kindezi, ni mara 100 angejiita tu Carrasco zelensky.
Huyu ndiye aliyekuja na uzi BAHLABANE BA NTWA 🤣🤣🤣🤣🤣USM ALGER VP MKUU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakikujibu nitag...Mashabiki wa El merriekh mechi yenu ya ligi inayofwata mnacheza na nani?
Mashabiki wa El merriekh mechi yenu ya ligi inayofwata mnacheza na nani?
Leo kahamia Al Ahly ,jamaa anatapatapa sana.