Mashabiki wa Al Merreikh tukutane hapa

Mashabiki wa Al Merreikh tukutane hapa

Unabishana na hili jamaa msimu uliopita wakati Yanga inashiriki shirikisho alibadirisha I'd mpaka akachoka na wote walipigwa hili ni sukule letu la bahati likianza hivi ujue tunawika balaa na msimu huu.
Kweli hili lisukule nimelikumbuka. Lilijipachika majina yote ya timu zilizokuwa zicheze na YANGA.
 
Back
Top Bottom