kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kwenye mkutano wa chama cha nassa kenya ulifanyika mombassa kama sikosei ni mwaka jana....report ya malipo kwa wasanii kutoka kwny hiyo show mond alikula 5M ksh na kiba alikula 3M ksh.Weka ushahidi kuwa Mond ndo analipwa mkwanja mrefu
Kwanza we shabiki maandaz tu unafata upepo hujui Kati ya domo na Wema nan aluepigwa chini.. Domo ndo alipigwa chini halaf hujajibu swali la huyo uliemquote amekuuliza VP nyie mashabiki wa diamond mnaomchukia kiba??Kama hilo hulijui basi I doubt kama ni mfuatiliaji wa haya mambo! Ingawaje sio wote wanaomshabikia Kiba ni haters wa Diamond lakini kama ni mfuatiliaji katu huwezi kupinga hoja kwamba kuna watu kibao ambao "wanamshabikia" Kiba ambao kimsingi ni haters tu wa Diamond na majority waliibuka baada ya Wema Sepetu kupigwa chini na Diamond!
Hivi nchi hii ushawahi kusikia kampeni dhidi ya Kiba kwenye tuzo zozote?! What about kampeni dhidi ya Diamond?! Umesahau kwenye tuzo za MTV na KTMA?!
Haya na hii ya fresh remix kaanzisha nani??Kiba ndo alianzisha iyo chuki angerudi na mwana yake kwa aman bila mgongo wa beef na mond sizan hata hizi team kama zingekuwepo, kwanza mziki wa kibongo ulikuwa umekuwa kila msanii alikuwa anatoa wimbo unahiti lkn tokea yaje haya matimu bongo flava inazid kufa tu daily kuna wasanii wakali kabisa lkn hawasikiki kwa sabbu ya huu upuzi.
Huwo ni mwendelezo wa kilichoanzishwa......soma mandishi alafu uyaelewe siyo unakurupuka tu.....nimesema iv kiba ndo mwanzilishi wa izi mambo....angerudi kweny career yake ya mziki baada ya mapumziko kama anavodai kwa amani bila kumu attack mond kwny interview zake sizani kama huu upuzi ungekuwepo maana kila mtu angekuwa happy na mziki wake......hebu kaiangalie sporah show aliyofanyiwa kiba kipindi anarudi kwenye game alafu uyatafakari maneno yaliyokuwa yanamtoka kiba kuhusu mond.Haya na hii ya fresh remix kaanzisha nani??
Hawa vilaza akili zao ndo zilivyo yaani kijana mwenzao anajituma wao wanakalia majungu tu.Na usikute ni wanaume hawaKwahiyo yeye mama ashura ndo nani mpaka aundiwe uzi.. Nonsense
Ungejua ni majungu na waanzilishi wa aya majungu ni vilaza sizani kama ungekuwa unachangia huu uzi.....nahisi ww ndo kilaza namba moja. Jibu kwa hoja na siyo matusi na kufedhesheana.Hawa vilaza akili zao ndo zilivyo yaani kijana mwenzao anajituma wao wanakalia majungu tu.Na usikute ni wanaume hawa
Kwanini Alikiba na sio Benpol au Jux?Mbona Alikiba anatukanwa kila siku naashabiki wa Diamond au huoni,Alikiba kaanza muziki/kutoka kabla ya Diamond Je mashabiki wa Alikiba kipindi hicho/kile walikuwa wanamchukia nani?Kiba bila beef hana kitu mbele ya domo ukubali ukatae but in reality ndo ukwl huwo.....mashabiki wa kiba ni haters wa mond walio weng ndo maana hata ukitaka kupruvu tembelea page zao zimejaa picha za mond kuliko msani wanaemshabikia na ikitokea akatokea msanii mwingne akahiti unaona wanalalia uko kumbuka kipindi cha mziki ya darasa wote walihamia kwa darasa wakawa wanamshindanisha na domo, Kabla ya beef lao mond alikuw anamvuruga kila sector fatilia matamasha tuzo za ktma pote kule kiba alikuwa anachezea coz kulikuwa hakuna tension ya beef lkn baada ya beef tu kuanza kiba aliporudi na plan B ya beef so wote waliokuwa wana chuki na mond wakahamia kwa kiba na ukijumulisha kuvunjika kwa penzi la domo na wema hasira za mashbiki wa wema wakazimalizia kwa kumukomoa mond kumbuka tuzo za ktma kilichotekea 2015.
Ikitokea kuna tamasha wapo kiba na mond utaona mashabiki wa kiba akipanda mond wanaanza kurusha makopo na kuzomea na wakati kiba akipanda mashabiki wa mond huwa hawafanyi huo ujinga wa kurusha makopo na vitu ka izo.
Na hata ikitokea mtu akaamuwa kuwapatanisha mond yupo tyari wakae chini yaishe coz kwake beef halina faida lakin kiba hawezi kukubali na Piga uwa garagaza hawezi kukubali maana likiisha tu beef msoto unaanza.
Izo no prove tosha kuonyesha kuwa watu wanaomshabikia kiba percentage kubwa ni watu wenye chuki na mond.
Weka hapa hiyo report tusome wote kama huna tuliza mshono huoKwenye mkutano wa chama cha nassa kenya ulifanyika mombassa kama sikosei ni mwaka jana....report ya malipo kwa wasanii kutoka kwny hiyo show mond alikula 5M ksh na kiba alikula 3M ksh.
Huna fact, mm nakujibu kwa fact na mifano lakini ww unaendeshwa na hisia jibu kwa mifano iliyo na uhalisia siyo kubanaisha tu. I rest this case in peace.Kwanini Alikiba na sio Benpol au Jux?Mbona Alikiba anatukanwa kila siku naashabiki wa Diamond au huoni,Alikiba kaanza muziki/kutoka kabla ya Diamond Je mashabiki wa Alikiba kipindi hicho/kile walikuwa wanamchukia nani?
NOTE:Mbaazi zikikauka husingizia jua
Aseme kabla ya diamond kutoka Je fans waliokuwa wanamshabikia Alikiba walikuwa wanamchukia nani?Kwanza we shabiki maandaz tu unafata upepo hujui Kati ya domo na Wema nan aluepigwa chini.. Domo ndo alipigwa chini halaf hujajibu swali la huyo uliemquote amekuuliza VP nyie mashabiki wa diamond mnaomchukia kiba??
Nadhani wewe hufwatilii mziki baki huko kwenye mkeka bet.Hivi ni Mara ngapi Diamond anamzungumzia vibaya Alikiba ile interview hata niliangalia hajamsema vibaya huyu unayemtaja ila unajihisi tuHuwo ni mwendelezo wa kilichoanzishwa......soma mandishi alafu uyaelewe siyo unakurupuka tu.....nimesema iv kiba ndo mwanzilishi wa izi mambo....angerudi kweny career yake ya mziki baada ya mapumziko kama anavodai kwa amani bila kumu attack mond kwny interview zake sizani kama huu upuzi ungekuwepo maana kila mtu angekuwa happy na mziki wake......hebu kaiangalie sporah show aliyofanyiwa kiba kipindi anarudi kwenye game alafu uyatafakari maneno yaliyokuwa yanamtoka kiba kuhusu mond.
Nimeamua kukupuuzia.....Nadhani wewe hufwatilii mziki baki huko kwenye mkeka bet.Hivi ni Mara ngapi Diamond anamzungumzia vibaya Alikiba ile interview hata niliangalia hajamsema vibaya huyu unayemtaja ila unajihisi tu
Breakdown of the millions ODM will pay artistes to performer in MombasaWeka hapa hiyo report tusome wote kama huna tuliza mshono huo
Hivi unafahamu maana ya consipiracy wewe?!Hizo ni conspiracy ambazo hazina maana.Hizi mashabiki wa Mond wanampenda Alikiba?If the answer is yes,Kwanini wanamtukana kila siku?If no,Huoni kuwa unakosea kusema mashabiki wa kiba ni haters wa Diamond?
Vipi waKenya wanaomshabikia Alikiba nao wanamchukia Diamond
Jaribu kumtoa ukungu huyu mtu,Hivi Kabla ya Alikiba kutoa wimbo mpya diamond alishatoa nyimbo 4 lakini zote hazikufanya vizuri hawasemi tatizo nini ila kazi kumdiss alikibaSio kweli daimond katoa nyimbo nne zimeshindwa kutamba safari hii yeye ndio kabebwa nawimbo wa alikiba
Kampeni gani unazungumzia?Ebu jaribu kuwa muwazi Diamond ameshapigiwa kampeni kwenye tuzo mbalimbali hata hizi za sasa hivi nenda instagram ukashuhudieHivi unafahamu maana ya consipiracy wewe?!
Nimekuuliza umeshawahi kusikia kampeni dhidi ya Kiba dhidi ya tuzo zozote? And what about Diamond? Kwahiyo kwako wewe hiyo ni conspiracy?! Au umependa tu kutumia hilo neno bila kufahamu tafsiri yake?