Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kiba kurudi kwa njia ya bifu jiulize alikuwa na tuzo ngapi.....ndo uta conclude usemi wa mama ashuraThibitisha...ukikumbuka kwamb kiba alipokuwa kimya mlichukua tuzo 7 liporud na mwana akachukua 5 zake mkabaki na 2 na mkasusa, hiyo n ktma na ilipokuja african nafca mkakutana na kiba akajibebea mbili nzuuur mbele yenu wakat alipokuwa hayupo alibeba huyu bwana mkataa watoto..hy twende kaz mashabiki zake mlikuwa wpi?
Wakikujibu nitagViewers imefikia wap wakuu.....nilikua nje ya nchi kdgo
Yaani kabisa unaamini Kiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond?! Halafu una habari hata hizo tuzo unazosema zina-reflect kile kile ambacho amesema huyo Mama Ashura?!Thibitisha...ukikumbuka kwamb kiba alipokuwa kimya mlichukua tuzo 7 liporud na mwana akachukua 5 zake mkabaki na 2 na mkasusa, hiyo n ktma na ilipokuja african nafca mkakutana na kiba akajibebea mbili nzuuur mbele yenu wakat alipokuwa hayupo alibeba huyu bwana mkataa watoto..hy twende kaz mashabiki zake mlikuwa wpi?
Eti mmeanza kumshabikia kabla ya Domo! Hoja ya kitoto kabisa hii!!! Yaani unashangaa hilo?! Hata ule msemo wa Kiswahili usemao ujanja sio kuwahi bali kupata inaelekea ni msemo uliokupiga chenga!!!Aisee tulianza mshabikia king kiba tangu domo yupo tandale anauza siso domo anajipa jeur tu sasa bt moyoni nae n timu kiba kaimba sana cinderela pumbav zake,now kapata watu wenye akili za mama ashura anajifanya kujisahaulisha puuumbav,then msifos king aish kama domo kila mtu ana life style zake,kama unafurahishwa na ya mond sisi tunafurahishwa na ya bichwa thats why tupo upande wake all the tym..pole mama ashura [HASHTAG]#PAMBANANAHALIYAKO[/HASHTAG]
Watakwambia izo viewz ni kwa sababu kuna watu sita wamehusika kwny wimbo.Yaani kabisa unaamini Kiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond?! Halafu una habari hata hizo tuzo unazosema zina-reflect kile kile ambacho amesema huyo Mama Ashura?!
Au umesahau haters wakiongozwa na Wema pamoja na Jokate walivyokuwa wanapiga kampeni ili Diamond asichukue tuzo?! Ni hao hao haters ambao walikuwa wanakesha kuhakikisha Seduce Me inapata views nyingi! Lakini kwavile ukweli ni kwamba Kiba hana mashabiki wengi walio loyal, ndio maana leo hivi sasa Seduce Me ambayo iliwahi kuizidi Zilipendwa kwa Views laki 9, hivi sasa imezidiwa kwa views zaidi ya laki 2.5 na gap linazidi kupanuka kila kukicha!!!
Na wakiuliza hivyo nami nitawauliza, kwani wakati wanaongoza kwa views laki 9 hao watu 6 hawakuwepo kwenye wimbo 😀😀😀!!!!Watakwambia izo viewz ni kwa sababu kuna watu sita wamehusika kwny wimbo.
Kama hilo hulijui basi I doubt kama ni mfuatiliaji wa haya mambo! Ingawaje sio wote wanaomshabikia Kiba ni haters wa Diamond lakini kama ni mfuatiliaji katu huwezi kupinga hoja kwamba kuna watu kibao ambao "wanamshabikia" Kiba ambao kimsingi ni haters tu wa Diamond na majority waliibuka baada ya Wema Sepetu kupigwa chini na Diamond!Hoja ya wanaomshabikia/fan wa kiba ni madui wa diamond ñi mufilisi kabisa kila msanii ana mashabiki wake,mfano mi napenda mziki mzuri huo ujinga sina kabisa.Vipi wale shabiki wa mond wanaomtukana alikiba kila siku kwenye social pages zake ni maadui wa nani?Twende YouTube kwenye wimbo wa alikiba wa seduce me kuna Matusi,maneno ya chuki kwa hii nyimbo vipi wanamchukia diamond? Hata hapa Jf jaribu kufanya kautafiti kati ya Mondi na Kiba nani anaongoza kuwa haters wengi alafu leta mrejesho
Hizo ni conspiracy ambazo hazina maana.Hizi mashabiki wa Mond wanampenda Alikiba?If the answer is yes,Kwanini wanamtukana kila siku?If no,Huoni kuwa unakosea kusema mashabiki wa kiba ni haters wa Diamond?Kama hilo hulijui basi I doubt kama ni mfuatiliaji wa haya mambo! Ingawaje sio wote wanaomshabikia Kiba ni haters wa Diamond lakini kama ni mfuatiliaji katu huwezi kupinga hoja kwamba kuna watu kibao ambao "wanamshabikia" Kiba ambao kimsingi ni haters tu wa Diamond na majority waliibuka baada ya Wema Sepetu kupigwa chini na Diamond!
Hivi nchi hii ushawahi kusikia kampeni dhidi ya Kiba kwenye tuzo zozote?! What about kampeni dhidi ya Diamond?! Umesahau kwenye tuzo za MTV na KTMA?!
Kiba ndo alianzisha iyo chuki angerudi na mwana yake kwa aman bila mgongo wa beef na mond sizan hata hizi team kama zingekuwepo, kwanza mziki wa kibongo ulikuwa umekuwa kila msanii alikuwa anatoa wimbo unahiti lkn tokea yaje haya matimu bongo flava inazid kufa tu daily kuna wasanii wakali kabisa lkn hawasikiki kwa sabbu ya huu upuzi.Hoja ya wanaomshabikia/fan wa kiba ni madui wa diamond ñi mufilisi kabisa kila msanii ana mashabiki wake,mfano mi napenda mziki mzuri huo ujinga sina kabisa.Vipi wale shabiki wa mond wanaomtukana alikiba kila siku kwenye social pages zake ni maadui wa nani?Twende YouTube kwenye wimbo wa alikiba wa seduce me kuna Matusi,maneno ya chuki kwa hii nyimbo vipi wanamchukia diamond? Hata hapa Jf jaribu kufanya kautafiti kati ya Mondi na Kiba nani anaongoza kuwa haters wengi alafu leta mrejesho
Kuna prove gn kuwa kenya mond hana mashabiki weng kulingana na kiba maana naonaga humu mnajichetua tu wakati hata wakienda wote kupiga show sehem moja mond ndo anakulaga mkwanja mwingi......ebu nipe prove yako kuwa kenya mond hamfikii kiba kimashabiki.Hizo ni conspiracy ambazo hazina maana.Hizi mashabiki wa Mond wanampenda Alikiba?If the answer is yes,Kwanini wanamtukana kila siku?If no,Huoni kuwa unakosea kusema mashabiki wa kiba ni haters wa Diamond?
Vipi waKenya wanaomshabikia Alikiba nao wanamchukia Diamond
Hamueleweki,Mara mashabiki wa Alikiba ni kwasababu ni haters wa Diamond,or Mara Alikiba aliporudi kwenye industry or Walikuwa mashabiki wa Wema.Kauli ipi ni sahihi Mkuu.Maybe nikusaidie wakati Alikiba anarudi kwenye industry Wema na Diamond walikuwa bado in relationshipKiba ndo alianzisha iyo chuki angerudi na mwana yake kwa aman bila mgongo wa beef na mond sizan hata hizi team kama zingekuwepo, kwanza mziki wa kibongo ulikuwa umekuwa kila msanii alikuwa anatoa wimbo unahiti lkn tokea yaje haya matimu bongo flava inazid kufa tu daily kuna wasanii wakali kabisa lkn hawasikiki kwa sabbu ya huu upuzi.
Weka ushahidi kuwa Mond ndo analipwa mkwanja mrefuKuna prove gn kuwa kenya mond hana mashabiki weng kulingana na kiba maana naonaga humu mnajichetua tu wakati hata wakienda wote kupiga show sehem moja mond ndo anakulaga mkwanja mwingi......ebu nipe prove yako kuwa kenya mond hamfikii kiba kimashabiki.
Kiba bila beef hana kitu mbele ya domo ukubali ukatae but in reality ndo ukwl huwo.....mashabiki wa kiba ni haters wa mond walio weng ndo maana hata ukitaka kupruvu tembelea page zao zimejaa picha za mond kuliko msani wanaemshabikia na ikitokea akatokea msanii mwingne akahiti unaona wanalalia uko kumbuka kipindi cha mziki ya darasa wote walihamia kwa darasa wakawa wanamshindanisha na domo, Kabla ya beef lao mond alikuw anamvuruga kila sector fatilia matamasha tuzo za ktma pote kule kiba alikuwa anachezea coz kulikuwa hakuna tension ya beef lkn baada ya beef tu kuanza kiba aliporudi na plan B ya beef so wote waliokuwa wana chuki na mond wakahamia kwa kiba na ukijumulisha kuvunjika kwa penzi la domo na wema hasira za mashbiki wa wema wakazimalizia kwa kumukomoa mond kumbuka tuzo za ktma kilichotekea 2015.Hamueleweki,Mara mashabiki wa Alikiba ni kwasababu ni haters wa Diamond,or Mara Alikiba aliporudi kwenye industry or Walikuwa mashabiki wa Wema.Kauli ipi ni sahihi Mkuu.Maybe nikusaidie wakati Alikiba anarudi kwenye industry Wema na Diamond walikuwa bado in relationship
Mashabiki wa diamond ndo wanamchukia kiba kwasababu ni wabinafsi kama msanii wao yaani hawataki asikike msanii mwingine ispokuwa domo... Yaani huu ni upumbavu wa kiwango cha lamiHoja ya wanaomshabikia/fan wa kiba ni madui wa diamond ñi mufilisi kabisa kila msanii ana mashabiki wake,mfano mi napenda mziki mzuri huo ujinga sina kabisa.Vipi wale shabiki wa mond wanaomtukana alikiba kila siku kwenye social pages zake ni maadui wa nani?Twende YouTube kwenye wimbo wa alikiba wa seduce me kuna Matusi,maneno ya chuki kwa hii nyimbo vipi wanamchukia diamond? Hata hapa Jf jaribu kufanya kautafiti kati ya Mondi na Kiba nani anaongoza kuwa haters wengi alafu leta mrejesho