Mashabiki wa Alikiba wamvaa Seven Mosha, wasema wamechoshwa na hujuma zake dhidi ya King

Msanii kuchelewa kwny show haihusiani chochote na meneja labda km hiyo show aliambiwa masaa mawili kabla

Alikiba hajui km muziki ndio kazi yake kama watu wengine wanavyoamka asbh na kwenda ofisini.
lazima mashabiki wakubali kuwa Alikiba kazi ya mziki anaidharau sana japo anaitegemea kula....yani ni tatizo kubwa,,,,,
 
Yes tatizo lipo kwa kina na siyo seven,am sure seven akujoin ktk timu ya wasafi jamaa watamtumia vzr sana.
Seven yupo vizuri sana aisee!!angalia anapambana na vichwa vya wanamme wawili sallam..na Dragon mwingine kwenye industry aliyejaa fitina Babu tale..lakini hawalali na hawapumziki maana yake anawatia presha..sasa nackia kaanza Kumkata tena seven, yaani kiba akili yake nadhani anaijua yeye tu.Mapenzi ni kitu cha muda siku wakikosana na ni lazima wakosane kwa tabia za Ally...yule dada atakaa pembeni na hapo ndio atajua siyo kila mwanamke ni wa kupiga mti...anatakiwa aheshimu kazi hizo feelings ni za muda tu.
 
Hahahahaha inamaana jamaa anataka kujiweka???
 
Ila mashabiki wa kiba ninachowapendea wanajua sana kumpigania msanii wao, yaani kiba ashukuru sana kua na mashabiki wa aina hii, ingawa sometimes katika kumpigania wanatukana sana lakini wanaplay role kubwa sana katika mafanikio ya kiba.

Nikikumbuka walivyolilia ile tuzo ya MTVEMA hadi huruma, usikute hadi MTV wenyewe walishangaa huyu ni msanii gani Mwenye fans wapiganaji hivi.

Lakini cha kushangaza Kiba mwenyewe amelala yaani mzito, ona mwenzake Mond anavyojua kucheza na saikolojia ya fans wake sometime hadi huwa anatenga muda wa kupiga story na fans wake huko instagram na kuwafollow anawafollow, lakini Kiba anajisahau hadi anashindwa kupost tangazo la show yake yeye mwenyewe. Kiba you need to change aisee.
 
Yani kiba alivyo mzito utafikiri mashabiki ndio wanao imba....
 
Watu wanaikwepa hoja ya msingi,ambayo TATIZO SI KIBA WALA SEVEN,ILA TATIZO NI MASHABIKI KUTAKA KIBA AWEZE KWENDA NA KASI YA DIAMOND. Utayaona hayo kama utaliangaza hilo jambo kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali sana ndio utaona.
 
Watu wanaikwepa hoja ya msingi,ambayo TATIZO SI KIBA WALA SEVEN,ILA TATIZO NI MASHABIKI KUTAKA KIBA AWEZE KWENDA NA KASI YA DIAMOND. Utayaona hayo kama utaliangaza hilo jambo kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali sana ndio utaona.
aiseeeeeeeeeeeee
 
Kibakuli anapenda umwinyi...wakati level yA umwinyi hajaifikia....ataporomoka....ashangae....viva simbaa....
 
Meneja kanunuliwa na mondi ili amuaibishe kiba salome.
 
Wanakoenda watakuambia hadi kivuli chake au Abdul Kiba ndio anamuhujumu;"Ally Kiba is overrated"-Ben Pol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…