Mashabiki wa Alikiba wamvaa Seven Mosha, wasema wamechoshwa na hujuma zake dhidi ya King

Namkubali SevenMosha kuliko kiba. Angekuw msanii ningekuw fan wake
 
Thread ya MWENDO KASII
 
Ally Kiba ni best artist ever nimekubali kila siku wanamwandama yeye kila sehemu JF,FB,insta twittwer,whatsapp achia ngoma ingine uwachanganye hawa hater kijana
 

Mkuu ubarikiwe na akhsante kwa kututesa.
 
Ni Beef Tu Lililopo Ndilo Linalomsaidia Kiba Kwa Kumpa Tension Ingawa Ameshindwa Kulitumia Vizuri

- Mosha Amejaribu Kumbeba Kupitia Uzoefu Wake MTV Kashindwa

- Haters Wa Domo ( Anaowaita Mashabiki ) Wanaumia Sana Wakiona Domo Anatusua Ndio Maana Wanaona Jamaa Anazingua, Mara Wajipoze Kwa Davido, Mara Wizkid, Mara Darasa Ili Mradi Wapate Faraja
 
Ali kiba ni Mzigo wa nnya.. hao mashabiki wanaomlaumu Seven hawajielewi yule dada anapambana sanaa tatizo ni huyo msanii mwenyewe ndio anajikuta anajua sanaa jeuri moto
 
I think Ali kiba need to grow up, kutegemea talent na sauti nzuri hakutoshi bila juhudi na maarifa. Mfano Christiano Ronaldo si talented kuzidi au hata kumfikia Messi na baada ya kulijua hilo alifanya juhudi binafsi kuifikia level ya Messi na sasa anaenjoy mafanikio ya kujitoa kwake kwa juhudi na maarifa na Messi anakubali kuwa CR7 ni mpinzani wake .
 
Haya madai ni ya kweli mkuu??nimesikia ila sijawapata wasaa WA kuuliza ukweli WA hizi taarifa
 
niliona ile interview na millard kaweka toothpick mdomoni ana ina ichew nikapata picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…