Mashabiki wa Alikiba wamvaa Seven Mosha, wasema wamechoshwa na hujuma zake dhidi ya King

Vipi ile show ya Jangwani sea breeze nipen picha naskia mond kaua mbayaa
 
Toa seven mosha weka petityman

Itachukua muda mrefu kuivunga ngome kama hii


Sallam Sk+babu Tale+Mkubwa Fella
Salaam kiboko sana Mendez *tale dah hawalali kisa tu mond atusue kwan ndo chakula Chao kipo hapo
 
labda kanunuliwa nae....maana dogo kwa kununua yule hajambo..HADI CAF!??
hahahahha hadi CAF kainunua wakati mwenzake hata jukwaa tu kuandaliwa la maana imeshikana...mondi acha kununua watu aseee unamliza mwenzako....
 
Entertainment industry it's all about showoff.. Sasa yeye anajifanya si mtu wa show off... Ataishia tembelea nyota ya domo...
Hayuko kibiashara hata kidogo.. Kana si mashabiki lazimisha mpambanisha na domo angekuwa analea hadi leo.. In short jamaa hajitambui
 
duh.! hao mashabiki kweli wanajitesa.

mjinga kama kiba ilitakiwa mnatupa kule mnatengeneeneza mwingine hata Nuhu Mziwanda. mnamkomalia kiba kwa lipi, kiba mwenyewe kiburi anataka kuabudiwa sijui kwa lipi hasa.

mara apondee tuzo (eti mi ni mkubwa kuliko tuzo)

bora li Diamond, linajielewa na linajituma. Watanzania mashabiki wa muziki ni bora tukamuunga mkono anayetaka kuungwa mkono i.e. Diamond.

ali kiba pasua kichwa.
 
Hicho ndio kiwango na uwezo wake Kulingana na muziki wake, Menejaz wake pamoja na washabiki wake , hapo ndipo anapostahili kuwepo hivi kweli Kiba aende kupiga muziki Zimbabwe atapata watu?
 
Nikusahihishe kidogo hapo, management ya Diamond inafanya kwa speed ya ajabu since day one, si sahihi kusema wanafanya kazi bila kulala kwa presha wanayopata kutoka kwa Bi mosha, Hell to big No!
 
He shud' stop taking his fans for granted, Fans wake wamejitolea sana kuhakikisha anakuwa hata the second best from diamond.
halafu mashabiki wa kiba kwa kumsema Diamond anajisikia ana dharau na blah blah kibao, haha Mungu anawachapa kwa fimbo zake naona, kujua kiba ana dharau za namna gani kulihitaji muda tu kulidhihirisha hilo.
 
Umepoteaaaa Jaman
 
Lakini kwa sasa wameshajua wazi kuwa Alikiba ana kibri na dharau wakati hana hata lolote bora hata mwenzie Jide ambaye kwenye kazi zake ana wathamini sana mashabiki wake... lakini Alikiba anawaona mashabiki wake kama hawana thamani yeyote kabisa...
 
Alikiba ni mvivu sana tena sana.......
 
Jana si ndo ilikua tarehe 28. Vipi idodomya?
 
asee nimesikia dodoma tembo wamenyofolewa pembe, watalii wamegoma kuja!! mchawi mkubwa wa kiba ni kioo, mwambieni achukue kioo ajiangalie atamuona mchawi wake! Msisahau pia kumwambia, akijua kujifananisha basi ajue na kujitofautisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…