Mashabiki wa Alikiba wamvaa Seven Mosha, wasema wamechoshwa na hujuma zake dhidi ya King

Kiba zile za club ndo shoo zake anazostahili wala msimlaumu dada manager.
 
Tatizo watu wanamlazimisha Kiba,alishaamua kustaafu lakini mnafosi ndio kuadhirika huku.
Kiba hana tofauti na Babu Ayubu kwa sasa.Anakwenda kwenye show na Shabiby Express,lazima afike saa 7 za usiku
 
nilisema kabisa !KIBA NI KAMA YEYE NDO ANATAKIWA KUNUNUA KAZI ZA MASHABIKI WAKE!
 
UNAPANDAJE JUKWAA KUNA KRETI ZA SODA STEJINI?
JUZI TENA NIMEKAA SALOON,NAONA ANAIMBA NA MR BLUE,
KIBA KAVAA KAPTURA,VIATU MOKASIN,KOTI LA AJABU LILE LA VIFUNGO VINGI VINGI VY GOLD SIJUI,KIFUA WAZI!
ANARUK ruka tu pale juu!HAKIIII NILIHSHINDWA KUELEWA !

KINACHOMPA KIBURI KIBA NI NINI?
PRIDE YA KIPUUZI KABISA!
WELL HATUWEZI KUACHA KUMFANANISHA NA NASEEB MAANA NDIYE ANATAKA AOENEKANE KAMZIDI!

ANAMUONA MWENZIE ANAVYOPANDA STAGE?
ANAONA ANAVYOVAA?
SISEMI AVAE KAMA YEYE ,HEBU ATAFUTE MUONEKANO WA MSANII!
ANAVAA KAWAIDA MNOOOO,TENA SIO KAWAIDA ANAVAA VIBAYA MNOOO!
ANA UMBO ZURI HAJUI KULITUMIA!KAZI KUTUKUNJIA MDOMO!
MWAMBIENI ANA SAUTI NZURI AJABU!KIBA BABA MUZIKI NI ZAIDI YA SAUTI!ZAIDI YA KUIMBA NA RKELLY!
ZAIDI!ZAIDI!


BICHWA KAMA ANAVYOJIITA ILA BICHWA TUPU KABISA!
DIAMOND ANGEPEWA SAUTI YAKE WALLAHI MJINI TUNGEHAMA!
BUT HATA DIAMOND AMUACHIE WCB KAMA ILIVYO NA KINA IYOBO AMPE MPK NA KIFESI!ATABAKI KUWA HIVYO HIVYO NA ATAUNDA WCB NYINGINE ITAMFUNIKA AKIWA HAPO HAPO NA UKING FARU JOHN WAKE!

enh mwambieni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…