uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Baada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali
Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani anawakaba wenzie hali uliyopelekea timu yao kutolewa ktk hatua ya nusu fainali ambapo wachezaji wenzake walipambana kufika hapo yeye akiwa hayupo
Inaelezwa kuwa wachezaji uwanjani wanamuona Ronaldo kama anawakaba wenzie licha ya kupunguziwa majukumu ila anapoteza kila mpira anaopewa
Mashabiki kuanza kumgeuka Ronaldo sio dalili nzuri
Hizi aibu anazozivuna Ronaldo ni aibu kwa wapenda mpira hadi waarabu wanasema Ronaldo akae benchi? No way