Mashabiki wa Alnasr wamshukia Cristiano Ronaldo wamtaka kocha ampige benchi kutokana na kiwango duni uwanjani

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Baada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali

Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani anawakaba wenzie hali uliyopelekea timu yao kutolewa ktk hatua ya nusu fainali ambapo wachezaji wenzake walipambana kufika hapo yeye akiwa hayupo

Inaelezwa kuwa wachezaji uwanjani wanamuona Ronaldo kama anawakaba wenzie licha ya kupunguziwa majukumu ila anapoteza kila mpira anaopewa

Mashabiki kuanza kumgeuka Ronaldo sio dalili nzuri

Hizi aibu anazozivuna Ronaldo ni aibu kwa wapenda mpira hadi waarabu wanasema Ronaldo akae benchi? No way
 
Siku zote mchezaji Nyota ndiye anaye beba lawama mambo ya napo haribika, Kwaiyo si jambo jipya Wala halijawahi kuwa jipya na litaendelea kuwa hivyo Kwa mashabiki.

Mfano mdogo alipokuwepo Pogba man U lawama zilikua kwake, alipo ondoka lawama zikaenda Kwa Harry Maguire n.k
Labda kama si mwana michezo unaweza usifahamu ilo.
 
Baada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali

Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani anawakaba wenzie hali uliyopelekea timu yao kutolewa ktk hatua ya nusu fainali ambapo wachezaji wenzake walipambana kufika hapo yeye akiwa hayupo

Inaelezwa kuwa wachezaji uwanjani wanamuona Ronaldo kama anawakaba wenzie licha ya kupunguziwa majukumu ila anapoteza kila mpira anaopewa

Mashabiki kuanza kumgeuka Ronaldo sio dalili nzuri

Hizi aibu anazozivuna Ronaldo ni aibu kwa wapenda mpira hadi waarabu wanasema Ronaldo akae benchi? No way
Utapata maradhi bure
 
Umri
 
Weka source ya hii habari yako tujiridhishe. Sijui kwanini wengi huwa hamjui kuwa kuweka source ni muhimu.
 
Wenzao ia Al hilal nao wamefurushwa jana hiyo hiyo kwa goal 1-0 kutoka kwa kibonde tu.

nao lawama wanamuangushia nani?
Kufungwa kupo, mitanzania mingine inadhani ronaldo ni mungu.Ndio maana argentina imetwaa kombe ila Mingi inamzungumzia messi.Mpira hauko hivyo.
 
wakuu tunaomba ile video ya muarabu akimwaga povu juu ya Ronaldo
 
Ni namba tu.
Akili inataka mwili hautaki. Warabu wanalia huko
A1BE6C48-74D1-492B-BDE4-CA072E8B1D4D.jpeg
 
Baada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali

Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani anawakaba wenzie hali uliyopelekea timu yao kutolewa ktk hatua ya nusu fainali ambapo wachezaji wenzake walipambana kufika hapo yeye akiwa hayupo

Inaelezwa kuwa wachezaji uwanjani wanamuona Ronaldo kama anawakaba wenzie licha ya kupunguziwa majukumu ila anapoteza kila mpira anaopewa

Mashabiki kuanza kumgeuka Ronaldo sio dalili nzuri

Hizi aibu anazozivuna Ronaldo ni aibu kwa wapenda mpira hadi waarabu wanasema Ronaldo akae benchi? No way
Jana umeona mambo yakeeeee
 
Back
Top Bottom