uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Sisi Wazungu wa Kambi katoto tunaita Non refundable payments.waambiwe wajue Ronaldo arudishi pesa,washaingia cha kike imekula kwao
Utapata maradhi bureBaada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali
Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani anawakaba wenzie hali uliyopelekea timu yao kutolewa ktk hatua ya nusu fainali ambapo wachezaji wenzake walipambana kufika hapo yeye akiwa hayupo
Inaelezwa kuwa wachezaji uwanjani wanamuona Ronaldo kama anawakaba wenzie licha ya kupunguziwa majukumu ila anapoteza kila mpira anaopewa
Mashabiki kuanza kumgeuka Ronaldo sio dalili nzuri
Hizi aibu anazozivuna Ronaldo ni aibu kwa wapenda mpira hadi waarabu wanasema Ronaldo akae benchi? No way
Jamaa anahangaika sana na Ronaldo.Utapata maradhi bure
UmriBaada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali
Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani anawakaba wenzie hali uliyopelekea timu yao kutolewa ktk hatua ya nusu fainali ambapo wachezaji wenzake walipambana kufika hapo yeye akiwa hayupo
Inaelezwa kuwa wachezaji uwanjani wanamuona Ronaldo kama anawakaba wenzie licha ya kupunguziwa majukumu ila anapoteza kila mpira anaopewa
Mashabiki kuanza kumgeuka Ronaldo sio dalili nzuri
Hizi aibu anazozivuna Ronaldo ni aibu kwa wapenda mpira hadi waarabu wanasema Ronaldo akae benchi? No way
Weka source ya hii habari yako tujiridhishe. Sijui kwanini wengi huwa hamjui kuwa kuweka source ni muhimu.Baada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali
Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani anawakaba wenzie hali uliyopelekea timu yao kutolewa ktk hatua ya nusu fainali ambapo wachezaji wenzake walipambana kufika hapo yeye akiwa hayupo
Inaelezwa kuwa wachezaji uwanjani wanamuona Ronaldo kama anawakaba wenzie licha ya kupunguziwa majukumu ila anapoteza kila mpira anaopewa
Mashabiki kuanza kumgeuka Ronaldo sio dalili nzuri
Hizi aibu anazozivuna Ronaldo ni aibu kwa wapenda mpira hadi waarabu wanasema Ronaldo akae benchi? No way
Kufungwa kupo, mitanzania mingine inadhani ronaldo ni mungu.Ndio maana argentina imetwaa kombe ila Mingi inamzungumzia messi.Mpira hauko hivyo.Wenzao ia Al hilal nao wamefurushwa jana hiyo hiyo kwa goal 1-0 kutoka kwa kibonde tu.
nao lawama wanamuangushia nani?
Ni namba tu.Umri
Messi,kwa kutojiunga na timu yaoWenzao ia Al hilal nao wamefurushwa jana hiyo hiyo kwa goal 1-0 kutoka kwa kibonde tu.
nao lawama wanamuangushia nani?
Akili inataka mwili hautaki. Warabu wanalia hukoNi namba tu.
Jana umeona mambo yakeeeeeBaada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali