ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kuna watu mnafikirisha sana ! sijui ni umri au ni ubishi wa asili? The highest paid footballer, top scorer of all time in UCL, internationally, 5× UEFA champions League winner, 5× Balon O Dior . Euro cup, Nation League, England kashinda kila kitu, Spain kaweka records , Seria A kafanya mabalaa Niambie kuna mchezaji gani mwingine unae mjua ana hizo records?Dah ila ronaldo sjui ana kamkosi yule mwamba???