Hivi nduguzangu wa Arsenal mnawezaje kuvumilia vipigo visivyokoma? Mimi shabiki wa United kwa experience ya miaka 6 tu ya vipigo tangu SAF atoke tayari nishachoka na najihisi kukonda, sasa nyie mmewezaje kustahimili miaka zaidi ya 10 ya vipigo?[emoji38][emoji38], Naombeni uzoefu..., Jana nilikuwa naangalia mpira home pekeangu nilishikwa na hasira nusura nipasue TV, yaani tunaanzaje kufungwa na timu ambayo hata nilikuwa siijui jina na hata sijui inatokea nchi gani? This is too much aisee...
View attachment 1275719