Mashabiki wa Arsenal na Man Utd tufarijiane hapa

Mashabiki wa Arsenal na Man Utd tufarijiane hapa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Hivi nduguzangu wa Arsenal mnawezaje kuvumilia vipigo visivyokoma? Mimi shabiki wa United kwa experience ya miaka 6 tu ya vipigo tangu SAF atoke tayari nishachoka na najihisi kukonda, sasa nyie mmewezaje kustahimili miaka zaidi ya 10 ya vipigo?[emoji38][emoji38], Naombeni uzoefu..., Jana nilikuwa naangalia mpira home pekeangu nilishikwa na hasira nusura nipasue TV, yaani tunaanzaje kufungwa na timu ambayo hata nilikuwa siijui jina na hata sijui inatokea nchi gani? This is too much aisee...
Screenshot_20191129-074637_1575004693658_1575004750383.jpeg
 
Hivi nduguzangu wa Arsenal mnawezaje kuvumilia vipigo visivyokoma? Mimi shabiki wa United kwa experience ya miaka 6 tu ya vipigo tangu SAF atoke tayari nishachoka na najihisi kukonda, sasa nyie mmewezaje kustahimili miaka zaidi ya 10 ya vipigo?[emoji38][emoji38], Naombeni uzoefu..., Jana nilikuwa naangalia mpira home pekeangu nilishikwa na hasira nusura nipasue TV, yaani tunaanzaje kufungwa na timu ambayo hata nilikuwa siijui jina na hata sijui inatokea nchi gani? This is too much aisee...View attachment 1275719
Angalia line up was Coach stupidity
 
Back
Top Bottom