Mashabiki wa Arsenal nchini Nigeria waenda kanisani kuomba ili waitoe Barcelona 16 Bora

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Mashabiki wa Arsenal wamemiminika kwenye nyumba za ibada huko nchini Nigeria saa chache baada ya makundi ya UEFA kutoka na kujikuta wao wamepangwa na Fc Barcelona.

MAONI YANGU: Arsenal kuwatoa Barcelona hizo ni ndoto za Abunoas hivyo mashabiki wao wanatakiwa wajiandae kisaikolojia kwa kichapo kikali
 
Duh, kumbe na sisi tulisahau kwenda makanisani, misikitini na kwenye masinagogi na jezi zetu za timu ya Taifa. Tungewatoa Algeria kiulaini Sana.
 

Ujinga ujinga tu picha ina miaka kibao mtandaoni
kila linapotokea balaa Arsenal lazima waitumie haters
 
...Hii picha nilishaiona mahali siku nyingi..!!
wacha uongo.
 

Uongo mtupu., Barcelona wenyewe wana hofu ya Arsenal, kila team Europ ilikuwa inaogopa kupangwa na Arsenal wanajuwa mechi itakuwa haitabiriki.
 
Uongo mtupu., Barcelona wenyewe wana hofu ya Arsenal, kila team Europ ilikuwa inaogopa kupangwa na Arsenal wanajuwa mechi itakuwa haitabiriki.
Hizi ndoto nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…