Mashabiki wa Arsenal sasa tunalamba asali kwa raha zetu

Mashabiki wa Arsenal sasa tunalamba asali kwa raha zetu

Hamna lolote unapiga timu mbovu halafu unajisifu aresnal hana uwezo wa kumfunga man u au liva au man city au chelsea hizo mechi zote anafungwa
 
Hakika lakini bado maumivu ya kufungwa na man u bado hajaisha
 
"nipo nyonyo nipo titi,,"hahahaaa nimejaa tele"[emoji445][emoji444][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Arsenal[emoji123]
 
Lakini vyovyote vile ilivyo, hii timu iliyonayo Arsenal kwa sasa ni moja ya timu nzuri kuwahi kuwa nayo na wachezaji wengi ni vijana wadogo wastani wa miaka 22 tu ukiondoa Xhaka na Jesus.
 
Mko vizuri ila kwa sasa mshindani wenu bado ni Manchester City .

Liverpool ,Chelsea ,Man U ,Tottenham mpaka wafanye recovery ya kupunguza gap kama mtaendelea hivo mtaleta ushindani kidogo
 
Mko vizuri ila kwa sasa mshindani wenu bado ni Manchester City .

Liverpool ,Chelsea ,Man U ,Tottenham mpaka wafanye recovery ya kupunguza gap kama mtaendelea hivo mtaleta ushindani kidogo
mkuu Dabil wewe si ni shaniki wa Arsenal au nimekufananisha?
 
IMG_20221001_202326.jpg
 
Back
Top Bottom