Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Umeandika miaka yote, sasa unataka miaka mitano sijui kuanzia lini bana mkubwa. Andika vizuri ili ujibiwe sawasawa
Nimekwambia nipe miaka mitano ya Nyuma, mbona kelele nyingi kijana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika miaka yote, sasa unataka miaka mitano sijui kuanzia lini bana mkubwa. Andika vizuri ili ujibiwe sawasawa
Uzuri wa JF ndo hivyo kwamba hatufahamiani. Lakini kwa anaejua nakuuliza nini hapati shida hata kufahamu umri wako. Kwa hiyo nyuma unayotaka kujua ni miaka mitano uliyoanza kushabikia EPL na La Liga au mitano ipi bana mdogo.Nimekwambia nipe miaka mitano ya Nyuma, mbona kelele nyingi kijana?
Miaka mitano niliyoanza kushabikia mpira, siku zote mkishaishiwa hoja mnakuja na sababu kibao, mara we mtoto, mara hujui mpira, mara mshamba, weka list kaka meneno mengi ya nini? Kama huwezi sema tukuwekeeUzuri wa JF ndo hivyo kwamba hatufahamiani. Lakini kwa anaejua nakuuliza nini hapati shida hata kufahamu umri wako. Kwa hiyo nyuma unayotaka kujua ni miaka mitano uliyoanza kushabikia EPL na La Liga au mitano ipi bana mdogo.
Swali dogo tu unakimbilia kwenye umri wangu
1900-1905?!Miaka mitano niliyoanza kushabikia mpira, siku zote mkishaishiwa hoja mnakuja na sababu kibao, mara we mtoto, mara hujui mpira, mara mshamba, weka list kaka meneno mengi ya nini? Kama huwezi sema tukuwekee
Yoyote ile1900-1905?!
Hiyo hiyo nyanya ndiyo kiboko ya eplMbona epl zinapigwa rafu kama hizo nyingi tu, kweli LA LIGA ligi nyanya
Good, 1935/36 Athletic Bilbao na Runner alikuwa RMA baada ya hapo ikatokea Civil War hapo kwao na Ligi ikasimama kwa miaka mitatu, iliporudi akachukua Atletico Aviation runner akawa Sevilla hadi 1940.[emoji52]Yoyote ile
asante kaka, basi nimekubaliana na wewe kuwa la liga ni ligi bora sana na ubingwa unaweza kuwa wa timu yoyoteGood, 1935/36 Athletic Bilbao na Runner alikuwa RMA baada ya hapo ikatokea Civil War hapo kwao na Ligi ikasimama kwa miaka mitatu, iliporudi akachukua Atletico Aviation runner akawa Sevilla hadi 1940.[emoji52]
Strong league kivipi?, miaka yote timu mbili tu ndio zinapokezana ubingwa
Ukweli ni upi? Hebu nitajie mabingwa wa miaka mitano wa La liga
Yoyote ile
Good, 1935/36 Athletic Bilbao na Runner alikuwa RMA baada ya hapo ikatokea Civil War hapo kwao na Ligi ikasimama kwa miaka mitatu, iliporudi akachukua Atletico Aviation runner akawa Sevilla hadi 1940.[emoji52]
Na kwa faida tu hata kama ni hizo/hiyo timu moja ndiyo hufanya vizuri kwenye michuano mikubwa barani ulaya.A
asante kaka, basi nimekubaliana na wewe kuwa la liga ni ligi bora sana na ubingwa unaweza kuwa wa timu yoyote
Nilipokwambia nipe record ya miaka mitano ya iliyopita (yoyote) nilikitegemea hili kaka asante
Arse 8 man6 au?Ligi bora wapi timu kufungwa goli 6, 7 na 5 ndo kawaida kabisa ukisema ligi angalia ushindani wa timu zote na ndo mana ktk betting timu za la liga znagewa point ndogo sababu hakuna ushindani km epl