Mashabiki wa Barcelona wamechukizwa na adhabu aliyopewa Sergio Ramos

Umeandika miaka yote, sasa unataka miaka mitano sijui kuanzia lini bana mkubwa. Andika vizuri ili ujibiwe sawasawa

Nimekwambia nipe miaka mitano ya Nyuma, mbona kelele nyingi kijana?
 
Uzuri wa JF ndo hivyo kwamba hatufahamiani. Lakini kwa anaejua nakuuliza nini hapati shida hata kufahamu umri wako. Kwa hiyo nyuma unayotaka kujua ni miaka mitano uliyoanza kushabikia EPL na La Liga au mitano ipi bana mdogo.
Swali dogo tu unakimbilia kwenye umri wangu
 
Miaka mitano niliyoanza kushabikia mpira, siku zote mkishaishiwa hoja mnakuja na sababu kibao, mara we mtoto, mara hujui mpira, mara mshamba, weka list kaka meneno mengi ya nini? Kama huwezi sema tukuwekee
 
1900-1905?!
 
Yoyote ile
Good, 1935/36 Athletic Bilbao na Runner alikuwa RMA baada ya hapo ikatokea Civil War hapo kwao na Ligi ikasimama kwa miaka mitatu, iliporudi akachukua Atletico Aviation runner akawa Sevilla hadi 1940.[emoji52]
 
A

asante kaka, basi nimekubaliana na wewe kuwa la liga ni ligi bora sana na ubingwa unaweza kuwa wa timu yoyote
Nilipokwambia nipe record ya miaka mitano ya iliyopita (yoyote) nilikitegemea hili kaka asante
 
Strong league kivipi?, miaka yote timu mbili tu ndio zinapokezana ubingwa

Ukweli ni upi? Hebu nitajie mabingwa wa miaka mitano wa La liga

Yoyote ile

Good, 1935/36 Athletic Bilbao na Runner alikuwa RMA baada ya hapo ikatokea Civil War hapo kwao na Ligi ikasimama kwa miaka mitatu, iliporudi akachukua Atletico Aviation runner akawa Sevilla hadi 1940.[emoji52]

Tumeelewana?
 
A

asante kaka, basi nimekubaliana na wewe kuwa la liga ni ligi bora sana na ubingwa unaweza kuwa wa timu yoyote
Nilipokwambia nipe record ya miaka mitano ya iliyopita (yoyote) nilikitegemea hili kaka asante
Na kwa faida tu hata kama ni hizo/hiyo timu moja ndiyo hufanya vizuri kwenye michuano mikubwa barani ulaya.
Ni sawasawa na huku kwetu mtaani una magari kumi yote yako "kwenye mawe" lakini mwingine anayo moja tu na inapiga route kila siku na anakunja mpunga yaani bampa 2 bampa.
 
Basi tuseme nyie mnajua kuliko wachezaji na makocha waliotoka ama kuamia kwenye izi ligi ,makocha waliofundisha izo ligi wao wanadhibitisha EPL ni ngumu then nyie mnakomaaa Spain ngumu tumkubali nan sasa nyie wakuangalia TV au wanaofundisha uko mpira,Spain haina ligi bola bali ina timu chache sana zilizo bola,lakin EPL nilig bola yenye ushindani mkubwa umeona wap kibonde wa ligi ya Spain anaifunga Madrid au Bacca?? Lakin EPL nikitu cha kawaida na huo ndoubola wa ligi yenye ushindani.
 
Ligi bora wapi timu kufungwa goli 6, 7 na 5 ndo kawaida kabisa ukisema ligi angalia ushindani wa timu zote na ndo mana ktk betting timu za la liga znagewa point ndogo sababu hakuna ushindani km epl
 
Arse 8 man6 au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…