crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Nasredinne Mohammed Nabi wa Yanga.At any time t route anaweza kuondolewa pale Chelsea kutokana na mwenendo mbovu wa timu. Tutumie hii thread kupendekeza kocha gani anafaa kuja kuchukua mikoba yake hata kama bado hajafutwa kazi. Mi naanza na.
Ernesto Valverde, kocha wa zamani wa Barcelona. Huyu mwamba alikuwa ana mwenendo mzuri sana pale Barca sema comeback ndo zilizomwangusha.
Haya twende kazi.
boli itembee.Mgunda atatufaa
Julio.At any time t Potter anaweza kuondolewa pale Chelsea kutokana na mwenendo mbovu wa timu. Tutumie hii thread kupendekeza kocha gani anafaa kuja kuchukua mikoba yake hata kama bado hajafutwa kazi. Mi naanza na.
Ernesto Valverde, kocha wa zamani wa Barcelona. Huyu mwamba alikuwa ana mwenendo mzuri sana pale Barca sema comeback ndo zilizomwangusha.
Haya twende kazi.
Huyu hamumpati ngooLuciano spalleti,
kocha wa napoli
Anafanya kazi nzuri napoliLuciano spalleti,
kocha wa napoli
Kwa nini? 🤣🤣🤣Huyu hamumpati ngoo
Mbele Ya Pesa?Huyu hamumpati ngoo