crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
At any time t Potter anaweza kuondolewa pale Chelsea kutokana na mwenendo mbovu wa timu. Tutumie hii thread kupendekeza kocha gani anafaa kuja kuchukua mikoba yake hata kama bado hajafutwa kazi. Mi naanza na.
Ernesto Valverde, kocha wa zamani wa Barcelona. Huyu mwamba alikuwa ana mwenendo mzuri sana pale Barca sema comeback ndo zilizomwangusha.
Haya twende kazi.
Ernesto Valverde, kocha wa zamani wa Barcelona. Huyu mwamba alikuwa ana mwenendo mzuri sana pale Barca sema comeback ndo zilizomwangusha.
Haya twende kazi.