Mashabiki wa CR Belouidad tujuane!

Nipo hapa Algiers kusubiria karamu ya magoli
Uzuri kesho siyo mbali. Natabiri kuona nyuzi zenu nyingi za kumkataa Mwenyekiti wenu Mangungu baada ya mchezo dhidi ya Asec Mimosa, kana kwamba yeye ndiye anayeisababishia timu yenu kufungwa.
 
Uzuri kesho siyo mbali. Natabiri kuona nyuzi zenu nyingi za kumkataa Mwenyekiti wenu Mangungu baada ya mchezo dhidi ya Asec Mimosa, kana kwamba yeye ndiye anayeisababishia timu yenu kufungwa.
😆😆😆 Nimecheka kishenzi
 
Itaneni wote kabisa, ili kesho kusiwe na lawama.

Nawaongezea mwenzenu Mdakuzi
Lol! Mimi sio shabiki wa timu yoyote zaidi ya Simba SC ya Tanzania na Manchester United ya England. Hizo nyingine nawaachia wenzangu b...

Ova
 
Lol! Mimi sio shabiki wa timu yoyote zaidi ya Simba SC ya Tanzania na Manchester United ya England. Hizo nyingine nawaachia wenzangu b...

Ova
Lakini unashabikia kichinichini b...
Nilidhani utasema tutangulize utaifa mbele!

Halafu Barca umeiacha siku hizi? Au unadhani nimesahau b...?
 
Nifah ni vile nimetofautiana na wengi, wapo ambao ni mashabiki wa matokeo, ila mimi ni shabiki wa mifumo ya mpira wenyewe uwanjani.

Hawa mashabiki wa matokeo tu ya mechi ndiyo unaweza kuwakuta wakihama hama tu kila wikiendi kwa kufuata matokeo.

Ni vizuri Yanga ikishinda, kwa kuwa kutakuwa na faida kwa ligi yetu ya moja kwa moja au ya kupitia upande mwingine.

Ova
 
Labda ishinde njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…