Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kama ninyi mnavyolia usiku huuNilijua tu kudadek subiri kesho mtalia uwanja mzima Assek Mimosa lazima awafunge 🤪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ninyi mnavyolia usiku huuNilijua tu kudadek subiri kesho mtalia uwanja mzima Assek Mimosa lazima awafunge 🤪
Upo wapo?
Ushindi lazimaAll the Best Yanga
Uzuri kesho siyo mbali. Natabiri kuona nyuzi zenu nyingi za kumkataa Mwenyekiti wenu Mangungu baada ya mchezo dhidi ya Asec Mimosa, kana kwamba yeye ndiye anayeisababishia timu yenu kufungwa.Nipo hapa Algiers kusubiria karamu ya magoli
😆😆😆 Nimecheka kishenziUzuri kesho siyo mbali. Natabiri kuona nyuzi zenu nyingi za kumkataa Mwenyekiti wenu Mangungu baada ya mchezo dhidi ya Asec Mimosa, kana kwamba yeye ndiye anayeisababishia timu yenu kufungwa.
Sure ili wakikalia kuti I waseme tumecheza na timu mbovu
Kesho mkishapigwa na Assek Mimosa mtaanza na Mo xtra ipi kubwa au ndogo? 🤪Shabiki wakutupwa wa belouzdad tangu nilione jua
😆😆😆 Kesho wanapigwa hawa jamaa watalia sana
Yule siyo kumkataa tu,ni kumkamata na kumkata masikioUzuri kesho siyo mbali. Natabiri kuona nyuzi zenu nyingi za kumkataa Mwenyekiti wenu Mangungu baada ya mchezo dhidi ya Asec Mimosa, kana kwamba yeye ndiye anayeisababishia timu yenu kufungwa.
Tuko pamoja tupo nayo leoShabiki wakutupwa wa belouzdad tangu nilione jua
Simba sports club ni mnyama sanaUpo wapo?
Mna-edit mnadhani picha hatuna? 🤪Simba sports club ni mnyama sana
Lol! Mimi sio shabiki wa timu yoyote zaidi ya Simba SC ya Tanzania na Manchester United ya England. Hizo nyingine nawaachia wenzangu b...
Hilo jina lako hukulichagua kwa bahati mbaya.Simba sports club ni mnyama sana
Lakini unashabikia kichinichini b...Lol! Mimi sio shabiki wa timu yoyote zaidi ya Simba SC ya Tanzania na Manchester United ya England. Hizo nyingine nawaachia wenzangu b...
Ova
Labda ishinde njaaB.., ni vile nimetofautiana na wengi, wapo ambao ni mashabiki wa matokeo, ila mimi ni shabiki wa mifumo ya mpira wenyewe uwanjani.
Hawa mashabiki wa matokeo tu ya mechi ndiyo unaweza kuwakuta wakihama hama tu kila wikiendi kwa kufuata matokeo.
Ni vizuri Yanga ikishinda, kwa kuwa kutakuwa na faida kwa ligi yetu ya moja kwa moja au ya kupitia upande mwingine.
Ova