Mashabiki wa Croatia waingia Qatar kibabe

Uzuri wa mataifa ya wakristo wengi ndio huo, wanaweza kujichanganya. Waarabu/waislamu wao kila sehemu wanayoenda wanataka kulazimisha tamaduni zao.
kwa hiyo hizi kelele za ma gay na wasagaji wanozipaza kua wapewe Uhuru ni wavaa makobazi? au sijaelewa
 
Waarabu wanapata fursa ya kuonja bia kupitia kombe la dunia. Wakijichanganya na hawa mashabiki ni kupiga mvinyo mchana kweupe
Asikwambie mtu, vijana wa kiarab ni walevi sana tena wengine wanakunywa hadi perfumes ili walewe.
 
Wewe ndio mjinga mwenye mawazo ya kisengerema muda wote
onyesha Ujinga wangu kwenye comment yangu na si kutukana ovyo kama mwendawazimu

Comment imewalenga mashabiki wa croatia waliovalia vazi la kanzu ila ulivyo mjinga wa khulka na uelewa mawazo yako umeyapeleka kwa waarabu.
 
wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.
Mbali na viungo vyetu vya mwili na muonekano unaotutafautisha kingine kinachotutofautisha binadamu Ni namna tunavyowaza mapokeo ya kitu ama namna ya kuwaza ama kuichukulia kitu. Kila mtu Ana mawazo yake Kama ilivyo kila na viungo vyake na havilingani saizi sema labda ratio yetu wote Ni moja. Mana tumeumbwa kwa Golden ratio moja mpaka universe Ina ratio iyo
 
Uzuri wa mataifa ya wakristo wengi ndio huo, wanaweza kujichanganya. Waarabu/waislamu wao kila sehemu wanayoenda wanataka kulazimisha tamaduni zao.
Ambacho hujui ni kwamba kwa sasa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa ulaya kwasasa ni wapagani ukiwaambia kitu kinacho itwa ukristo unaonekana kituko na mjinga.
 
Ambacho hujui ni kwamba kwa sasa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa ulaya kwasasa ni wapagani ukiwaambia kitu kinacho itwa ukristo unaonekana kituko na mjinga.
Hata wale waarabu na waislamu wengine wanaotoka katika nchi zingine wanapoenda nchi za magharibi karibu asilimia 70 hawajali tena mambo ya dini.
 
Hata wale waarabu na waislamu wengine wanaotoka katika nchi zingine wapoenda nchi za magharibi karibu asilimia 70 hawajali tena mambo ya dini.
Sijabisha bali nilikuwa namjibu huyo mfia dini mwenzako ambaye ameleta mambo ya dini kwenye mada yangu ambayo haina uhusiano na dini.
 
Ambacho hujui ni kwamba kwa sasa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa ulaya kwasasa ni wapagani ukiwaambia kitu kinacho itwa ukristo unaonekana kituko na mjinga.
Mzee hata kama waarabu waache kwenda misikitini bado haitakuwa rahisi kwa wao kuishi bila kufuata utamaduni wa kiislamu. Hivyo ndivyo ilivyo kwa hao wazungu ambao pamoja na kuacha kwenda kanisani lakini bado maisha yao yote yapo chini ya tamaduni za kikristo.
 
Ila ukiangalia utaona jinsi wengi wao wanavyotamani kwenda kuishi katika nchi za magharibi kuliko hata kwenda kwenye nchi yoyote ya kiislamu.

Hii inatufundisha kwamba kumbe kila mtu duniani anapenda kuwa huru, anapenda kwenda kwenye ibada siku akijisikia au asiende kabisa na hapendi wa kumuuliza eti kwa nini hukwenda wakati anafahamu fika kwamba huyo anayemuuliza sio Mungu ila ni binadamu mwenye mapungufu kama yeye.

Sasa nchi za ma gharibi zinatoa hiyo fursa ya wewe kuamua ukaswali au usiende kabisa ibadani, wanaamini katika kile kinachoitwa individual's privacy     ambayo haipo kwenye nchi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…