Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
na kwambiaje hata mbuzi wavatican wataonjaWaarabu wanapata fursa ya kuonja bia kupitia kombe la dunia. Wakijichanganya na hawa mashabiki ni kupiga mvinyo mchana kweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kwambiaje hata mbuzi wavatican wataonjaWaarabu wanapata fursa ya kuonja bia kupitia kombe la dunia. Wakijichanganya na hawa mashabiki ni kupiga mvinyo mchana kweupe
Wanapiga vyombo,maana Ni uwanjani tu imekatazwa ,kwingine freshWaarabu wanapata fursa ya kuonja bia kupitia kombe la dunia. Wakijichanganya na hawa mashabiki ni kupiga mvinyo mchana kweupe
kwa hiyo hizi kelele za ma gay na wasagaji wanozipaza kua wapewe Uhuru ni wavaa makobazi? au sijaelewaUzuri wa mataifa ya wakristo wengi ndio huo, wanaweza kujichanganya. Waarabu/waislamu wao kila sehemu wanayoenda wanataka kulazimisha tamaduni zao.
Huenda wewe ndiye hujanielewa kwa sababu ya ujinga uliokujaaHata hujaelewa pimbi wewe
Wewe ndio mjinga mwenye mawazo ya kisengerema muda woteHuenda wewe ndiye hujanielewa kwa sababu ya ujinga uliokujaa
Asikwambie mtu, vijana wa kiarab ni walevi sana tena wengine wanakunywa hadi perfumes ili walewe.Waarabu wanapata fursa ya kuonja bia kupitia kombe la dunia. Wakijichanganya na hawa mashabiki ni kupiga mvinyo mchana kweupe
onyesha Ujinga wangu kwenye comment yangu na si kutukana ovyo kama mwendawazimuWewe ndio mjinga mwenye mawazo ya kisengerema muda wote
Mbali na viungo vyetu vya mwili na muonekano unaotutafautisha kingine kinachotutofautisha binadamu Ni namna tunavyowaza mapokeo ya kitu ama namna ya kuwaza ama kuichukulia kitu. Kila mtu Ana mawazo yake Kama ilivyo kila na viungo vyake na havilingani saizi sema labda ratio yetu wote Ni moja. Mana tumeumbwa kwa Golden ratio moja mpaka universe Ina ratio iyowanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.
Ambacho hujui ni kwamba kwa sasa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa ulaya kwasasa ni wapagani ukiwaambia kitu kinacho itwa ukristo unaonekana kituko na mjinga.Uzuri wa mataifa ya wakristo wengi ndio huo, wanaweza kujichanganya. Waarabu/waislamu wao kila sehemu wanayoenda wanataka kulazimisha tamaduni zao.
🤣🤣🤣🤣na kwambiaje hata mbuzi wavatican wataonja
Hata wale waarabu na waislamu wengine wanaotoka katika nchi zingine wanapoenda nchi za magharibi karibu asilimia 70 hawajali tena mambo ya dini.Ambacho hujui ni kwamba kwa sasa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa ulaya kwasasa ni wapagani ukiwaambia kitu kinacho itwa ukristo unaonekana kituko na mjinga.
Sijabisha bali nilikuwa namjibu huyo mfia dini mwenzako ambaye ameleta mambo ya dini kwenye mada yangu ambayo haina uhusiano na dini.Hata wale waarabu na waislamu wengine wanaotoka katika nchi zingine wapoenda nchi za magharibi karibu asilimia 70 hawajali tena mambo ya dini.
Mzee hata kama waarabu waache kwenda misikitini bado haitakuwa rahisi kwa wao kuishi bila kufuata utamaduni wa kiislamu. Hivyo ndivyo ilivyo kwa hao wazungu ambao pamoja na kuacha kwenda kanisani lakini bado maisha yao yote yapo chini ya tamaduni za kikristo.Ambacho hujui ni kwamba kwa sasa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa ulaya kwasasa ni wapagani ukiwaambia kitu kinacho itwa ukristo unaonekana kituko na mjinga.
Ila ukiangalia utaona jinsi wengi wao wanavyotamani kwenda kuishi katika nchi za magharibi kuliko hata kwenda kwenye nchi yoyote ya kiislamu.Mzee hata kama waarabu waache kwenda misikitini bado haitakuwa rahisi kwa wao kuishi bila kufuata utamaduni wa kiislamu. Hivyo ndivyo ilivyo kwa hao wazungu ambao pamoja na kuacha kwenda kanisani lakini bado maisha yao yote yapo chini ya tamaduni za kikristo.