Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

Mbona Hans pope amekaa jela zaidi ya miaka kumi kea kosa ma uhaini+ugaidi ya kutaka kuoindua nchi, na Leo hii ni mjumbe wa bodi ya simba? Historia haiwezi kumhukumu Mtu, mtu anahukuamiwa na anayoyafanya sasa.
Hivi unajua baba yako au mama yako wanaweza kuwa na skendo mbaya Sana ujanani, lakini kwa sasa tumewasamehe kwa kuwa wameacha
 
Mjitahidi kujibu hoja zake ivyo ndo vitu vya msingi kwa sasa na zile nondo zimemfanya mpk bosi kawa chizi huko kwenye social media,anatoa boko daily [emoji1787]....

Hizo mambo zingine za ajabu kwenye mapitio ya maisha binafsi kila mtu anazo..kigogo angekuwa mtu wa maana au mkweli aitishe press conference na yeye kama Manara au Mwijaku sio kujificha ficha tu kama mwanamke

Manara kaja front wana sports nchi nzima kukasimamisha shughuli kumsikiliza,unafki wote tupa kule kachana watu live,kigogo yeye anaandika vitu hatujui yeye nani anafanya nini sasa kwanini tumuamini kuliko Manara tunayemjua ni nani na anafanya nini?
 
Naye atakaa miaka kumi+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…