EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #81
Uto mnakera mbona mnashindwa kutaja hata HOJA moja ya HM??Sawa, Manara anaweza kuwa na maovu yake kama alivyo kila binadamu. Lakini mtumie akili kumjibu. Jibuni hoja zake maana hata huyo MO ni mwizi Mkubwa.
Unamjua baba yake ana maovu gani kufikia huo utajiri aliomridhisha MO? Piga kimya, tupotezee.
Tujikite kwenye hoja.
Na MO alivyo mweupe kichwani anataka kila adui wake awe adui yake. Mpaka anaanza kuleta mzozano na wachezaji.
we wasaidie wenzako taja mbili tu?