Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

BTW, mimi siyo muumini wa kuchangia hoja kwa matusi.

Matusi yana akisi uwezo wa kufikiria wa anaye toa matusi.
Ulichofanya hapo kwenye post yako kuu tunaita 'Ad hominem' yaani unamshambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja zake.

Jadili hoja matusi hayabadili ukweli wa aliyo yasema Manara. Au niyasemayo mimi au usemayo wewe.
Samahani kwa "matusi" naomba hoja mbili za HM unazozijua
 
Unataka nitaje hoja gani tofauti na alizo toa Manara mwenyewe?
Jibuni yale aliyosema na siyo matusi na kukumbusha tuhuma zake za zamani.
Hizi tuhuma za zamani zinahusiana nini na malipo yake, mkataba wake na Simba na zaidi kuhusu nauli za kwenda kwenye press, kuhusu mkataba wake na Azam, kuhusu kudukuliwa n.k?
Ngoja nikuache mkuu ukijua kutofautisha HOJA na MAELEZO/malalamiko utarudi KAULIZE kwa wenzako
 
Wakati anachangisha hizo pesa mngempa onyo na kumuanzishia nyuzi humu kama za kumbukumbu ila sasa mkawa mnamuanzishia nyuzi za kumsifia na kumpa nguvu ya kudhihaki na kudhalilisha waandishi wa habari
Yote yalikuwa kwa maslahi ya Simba. Alinyamaziwa kwa ajili ya maslahi ya Simba, na anashambuliwa kwa ajili ya maslahi ya Simba. Similarly, wakati ule Yanga walimshambulia kwa maslahi ya Yanga, na sasa wanamtetea kwa maslahi ya Yanga, si kwamba wanaangalia haki zake. Sasa kama hutaki kuelewa mantiki hii, utajaza server kwa maswali
 
Mkuu kama umepanic flani hivi,niliposema ameajiriwa ukapinga nikaendana na wewe kuwa alikua deiwaka napo unapinga sasa mbona huyu kajanja au kajamba nani asie lolote pale simba anawapa presha na mapovu?
Anatupa presha kwa KUHARIBU PUBLIV IMAGE ya SIMBA

Nkuulize swali?

Mkata majani jirani yenu alitangaza KATEMBEA NA WEWE

Huyatapanic unasubiri majirani WAMPUUZE???
 
Server zipo ili zijazwe.

Kama mliweza mvumilia tapeli kwa maslah ya simba sioni haja ya kuongelea ya zamani kwa maslah hayo kwa sasa mjibuni hoja zake huku mkionyesha faida za maamuzi yenu zaidi. Huu ugomvi anayefaidika ni azam, yanga wametulia tu wanawacheki na kufurahia matajiri mkiparurana
Yote yalikuwa kwa maslahi ya Simba. Alinyamaziwa kwa ajili ya maslahi ya Simba, na anashambuliwa kwa ajili ya maslahi ya Simba. Similarly, wakati ule Yanga walimshambulia kwa maslahi ya Yanga, na sasa wanamtetea kwa maslahi ya Yanga, si kwamba wanaangalia haki zake. Sasa kama hutaki kuelewa mantiki hii, utajaza server kwa maswali
 
Manara sio yatima na simba haikumuajiri bali walimuomba awe msemaji wao hivyo kumfananisha na yatima ni kuwadharau mno yatima wote

Kumbalini tu ukweli mlichemsha na hata msemaji wenu wa sasa ana skendo kama za manara mjue. Japo mtamtetea kwa nguvu zote na kutaka wanaomsema walete ushahidi.

Wakati anachangisha hizo pesa mngempa onyo na kumuanzishia nyuzi humu kama za kumbukumbu ila sasa mkawa mnamuanzishia nyuzi za kumsifia na kumpa nguvu ya kudhihaki na kudhalilisha waandishi wa habari
Unajuaje kama hakuaonywa?? Si ndio maana akawa anaachwa kwenye timu?

Kulinda BRAND inage ni gharama kubwa kama kuijenga its takes time mpumbavu mmoja anaweza kuiharibu kwa a day or ana hour
 
Je kama kweli nilitembea nae why nipanic😂😂😂😂😂

Ina maana Manara ni makata majani na Mo ndo mie ee basi sawa😂😂😂😂😂😂 kumbe kuna mtu kaliwa hapo

Anatupa presha kwa KUHARIBU PUBLIV IMAGE ya SIMBA

Nkuulize swali?

Mkata majani jirani yenu alitangaza KATEMBEA NA WEWE

Huyatapanic unasubiri majirani WAMPUUZE???
 
Manara kafanikiwa kushawishi baadhi ya wajinga kua mafanikio ya simba yametokana na juhudi zake

Eti ooh simba ikifungwa mtu wa kwanza kutukanwa ni mimi sio Mo. Anasahau kua yeye anatukanwa kwasababu amekua akiwatukana wengine, kipindi kile kapigwa spana na jery muro akakimbilia kutumia udini kutafuta huruma ionekane kaonewa
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji28][emoji28]
 
Asante kwa huo mlolongo wa maelezo,ila yangependeza zaidi kama ungeyasema kabla hajaropoka huyo manara

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
ngoja nikuambie kitu

Kipindi kile haji ana leak ile clip sikufichi mimi nilikua kipaumbele kumtetea unajua kwasababu gani? Nikutokana na madai yake kua analipwa 700K

Napia kwanini baada ya hapo nilimuona snitch?

Nikwasababu kuna nukta ambazo anajua dhahiri nikiziweka bayana ntaonekna snitch hivyo njia pekee ya kushawishi watu nikutoa habari ambazo ningependa wazisikie ili nipate kundi kubwa linalo niunga mkono.

Kwanini kwenye ile clip hakuelezea habari zote kua analipwa laki 7 kutokana na yeye mwenyewe kukataa kupewa mkatab wa pesa ndefu? Jibu ni rahisi tu, alifanya hivyo kwasababu hakutaka watu wajue kua uongozi ulimpa nafasi ya yeye kulipwa hela ndefu kwa maana watu wengi wangemuona mjinga kitu ambacho yeye hakutaka

Kupitia clip ya hance watu wengi pale walikosa matumaini na huyu manara kua kwanini alitaka kuwaaminisha watu uongo wafikirie kua huo ndo mshahara wake wa mkataba wake aliopewa na simba. Vipi kama hance asingejitokeza kusema hayo leo hii nani angejua kua manara alikataa mkataba wa mkwanja mrefu?
 
Je kama kweli nilitembea nae why nipanic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ina maana Manara ni makata majani na Mo ndo mie ee basi sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kuna mtu kaliwa hapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hujaolewa wwe
 
Wewe ni mtu muungwana sana.
Hapa najua ulizidiwa na mzuka wa soka.
Mahaba kwa club yako hayana shaka na ndiyo yanakufanya usiuone ukweli.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1317][emoji1317]
 
Manara uenda akasababisha mmong'onyoko ndani ya klabu ya Simba
hajismanara_1628271268071589.jpg
JamiiForums-583269419.jpg
 
ngoja nikuambie kitu

Kipindi kile haji ana leak ile clip sikufichi mimi nilikua kipaumbele kumtetea unajua kwasababu gani? Nikutokana na madai yake kua analipwa 700K

Napia kwanini baada ya hapo nilimuona snitch?

Nikwasababu kuna nukta ambazo anajua dhahiri nikiziweka bayana ntaonekna snitch hivyo njia pekee ya kushawishi watu nikutoa habari ambazo ningependa wazisikie ili nipate kundi kubwa linalo niunga mkono.

Kwanini kwenye ile clip hakuelezea habari zote kua analipwa laki 7 kutokana na yeye mwenyewe kukataa kupewa mkatab wa pesa ndefu? Jibu ni rahisi tu, alifanya hivyo kwasababu hakutaka watu wajue kua uongozi ulimpa nafasi ya yeye kulipwa hela ndefu kwa maana watu wengi wangemuona mjinga kitu ambacho yeye hakutaka

Kupitia clip ya hance watu wengi pale walikosa matumaini na huyu manara kua kwanini alitaka kuwaaminisha watu uongo wafikirie kua huo ndo mshahara wake wa mkataba wake aliopewa na simba. Vipi kama hance asingejitokeza kusema hayo leo hii nani angejua kua manara alikataa mkataba wa mkwanja mrefu?
Kabisa mkuu[emoji1756][emoji1756]
 
Back
Top Bottom