Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

Sawa, Manara anaweza kuwa na maovu yake kama alivyo kila binadamu. Lakini mtumie akili kumjibu. Jibuni hoja zake maana hata huyo MO ni mwizi Mkubwa.

Unamjua baba yake ana maovu gani kufikia huo utajiri aliomridhisha MO? Piga kimya, tupotezee.

Tujikite kwenye hoja.

Na MO alivyo mweupe kichwani anataka kila adui wake awe adui yake. Mpaka anaanza kuleta mzozano na wachezaji.
Uto mnakera mbona mnashindwa kutaja hata HOJA moja ya HM??

we wasaidie wenzako taja mbili tu?
 
Neno. Sana mkuu mdomo hauwez kuifikisha simba ilipo ni uongo kusadiki kuwa manara kaifikisha simba hapa ilipo. Tujifunze kuwaheshimu watu waliothubutu kutoa kidogo chao
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa, Manara anaweza kuwa na maovu yake kama alivyo kila binadamu. Lakini mtumie akili kumjibu. Jibuni hoja zake maana hata huyo MO ni mwizi Mkubwa.

Unamjua baba yake ana maovu gani kufikia huo utajiri aliomridhisha MO? Piga kimya, tupotezee.

Tujikite kwenye hoja.

Na MO alivyo mweupe kichwani anataka kila adui wake awe adui yake. Mpaka anaanza kuleta mzozano na wachezaji.
Huwez kuwa rafiki wa adui wa boss wako mzee baba haipo.
 
Sema simba inabidi waje baadhi ya viongozi wamwage ushuuzi wote wa manara
 
Haya yote hayana msingi kwa wakati huu hadi pale Manara atakapojibiwa hoja zake,haya kama Simba hawakuyaona mwanzo basi hakuna maana ya kuyaleta sasa kama MO na Babra watashindwa kumjibu Manara,cha kujiuliza huyu MO kama alikuwa na ugomvi na Hamisi kwanini sasa awe na ugomvi na Haji
Mo amjibu nn haji..? Yaani mo atoke ajibu taarabu atonekana waajabu zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumpotezea ni kuwapa kichwa Yanga huyu atachafuliwa na Simba kwa kutumia very normal people,

Ana siri nyingi chafu watu walizihifadhi. Kutokuchafua IMAGE/BRAND ya SIMBA, now that he's out he should learn to keep his mouth shut[emoji850][emoji850]
Hata mimi naamini huyu muda mfupi ana chafuliwa vibaya acha watu wanafukua mafaili waje kiutu uzima na evidence co yy anaongea tu vizibitisho hakuna
 
Hata mimi naamini huyu muda mfupi ana chafuliwa vibaya acha watu wanafukua mafaili waje kiutu uzima na evidence co yy anaongea tu vizibitisho hakuna
Atajuta sooon hata hao GSM na AZAM WATAMKIMBIA
 
Kanjibai Kesha tembeza mpunga kapata watetezi
 
Back
Top Bottom