Horoya fan
Member
- Mar 13, 2023
- 79
- 253
Mbona mechi ya raja hatujakimbia? Jiandae kisaikolojiaMsikimbie mechi ikiisha
Mtapigwa mpaka muoze.Huu Uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa horoya popote pale walipo hapa duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni...
Jumamosi tuna jambo letuView attachment 2550156
Horoya hatuna maneno mengi, tutawapiga ki Moja tu cha uchunguMtapigwa mpaka muoze.
Kipigo kiko palepale[emoji706][emoji706][emoji706]
Naona upande wa pili huwa hawana USHAMBA wa namna hii!Huu Uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa horoya popote pale walipo hapa duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni...
Jumamosi tuna jambo letuView attachment 2550156
Hili ni jukwaa huru, halafu hata tafsiri ya neno ushamba sidhani kama una uelewa nayoNaona upande wa pili huwa hawana USHAMBA wa namna hii!
Na hawataamini tutachowafanya, yaani tutapiga palepale walikopiga makirikiriNimekua shabiki wa Horoya Kwa miaka mingi Sana...
Lazima tupige kitu jumamosi
USHAMBA, ni kama haya uyafanyayo!Hili ni jukwaa huru, halafu hata tafsiri ya neno ushamba sidhani kama una uelewa nayo
Sasa unafanya nini kwenye uzi wa kishamba?USHAMBA, ni kama haya uyafanyayo!
Mganda og, we si mshabiki wa vipers au umehamia horoya tahadhari angalia usje ukapata BP mkuu.Tuko pamoja na Horoya f.c. Kwa Mkapa sasahivi wanapigika vizuri sana, ni matumaini yangu hamtatuangusha
Kuna huu uzi ulikufa kimya kimya wala hata mashabiki wa Vipers hawakuwasindikiza wachezaji wao airport:Huu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni.