Mashabiki wa Horoya tukutane hapa

Mashabiki wa Horoya tukutane hapa

Horoya fan

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
79
Reaction score
253
Huu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni.

Jumamosi tuna jambo letu.

amc-14854683040680835340..jpg
 
Sina shaka Simba itashinda na kwenda robo fainali
Hofu yangu ni hao Simba atakwenda kukuta nao huko robo fainali
 
Nashukuru Kwa kupata fulsa hii kuwepo kwenye huu Uzi

Kwa majina naitwa LABAN og . Ni raisi wa horoya FC naomba ushirikiano wenu kwenu mashabiki wa simba na wananchi & wengine

Kuisapoti timu yetu ya horoya kushinda kishindo heavyweight dhidi ya mbu mbu mbu.........

Tumefanya mikakati mingi kuhakikisha tunashinda hii mechi
Translated from french
Your's faithfully,
Laban og
Horoya's president
 
Huu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni.
Kuna huu uzi ulikufa kimya kimya wala hata mashabiki wa Vipers hawakuwasindikiza wachezaji wao airport:

 
Back
Top Bottom