Mashabiki wa Horoya tukutane hapa

Mashabiki wa Horoya tukutane hapa

Nashukuru Kwa kupata fulsa hii kuwepo kwenye huu Uzi

Kwa majina naitwa LABAN og . Ni raisi wa horoya FC naomba ushirikiano wenu kwenu mashabiki wa simba na wananchi & wengine

Kuisapoti timu yetu ya horoya kushinda kishindo heavyweight dhidi ya mbu mbu mbu.........

Tumefanya mikakati mingi kuhakikisha tunashinda hii mechi
Translated from french
Your's faithfully,
Laban og
Horoya's president
fulsa...
horoya
Mbona unaandika kis..ga
 
ndugu laisi ili mushinde inabidi unipe kinyeo hicho Mana hata raja walivyo kuja raisi wao alinigea kinyeo nikawapa baraka zakushinda

azawaiz mtafungwa nyingi sana.usipuuzie tafadhali kamampo silias.
 
Kuna huu uzi ulikufa kimya kimya wala hata mashabiki wa Vipers hawakuwasindikiza wachezaji wao airport:

Haukufa,ila umehamia huku
 
Back
Top Bottom