Mkuu, yaani comment ya mshabiki mmoja ndio unaifanyia conclusion hadi unaanzisha uzi? Mbona hapo hapo kuna shabiki mwingine amecomment kuwa mashabiki wa Simba wapo tayari kuisupport Sundows, unataka kusema ni kweli mashabiki wa Simba wamekubaliana kufanya hivyo? Hayo maoni ni ya mtu mmoja mmoja, ni ya kuyachukulia kama majigambo tuMashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili
Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana
Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za kiufundi na kifedha Yanga washindwe wao tu
Kuna Yellow Nations Moja tu Afrika nayo ni Dar Young Africans
Waleteni hao watoto wa madiba
Vamos YangaView attachment 2933670View attachment 2933670
Hivyo ya Simba iweke wewe,Mkuu, yaani comment ya mshabiki mmoja ndio unaifanyia conclusion hadi unaanzisha uzi? Mbona hapo hapo kuna shabiki mwingine amecomment kuwa mashabiki wa Simba wapo tayari kuisupport Sundows, unataka kusema ni kweli mashabiki wa Simba wamekubaliana kufanya hivyo? Hayo maoni ni ya mtu mmoja mmoja, ni ya kuyachukulia kama majigambo tu
View attachment 2933674
Siwezi kuweka maoni ya mtu mmoja kama uzi unaojumuisha maoni ya kundi la zaidi ya watu 15M. Ni ujinga, na hatupo sawaHivyo ya Simba iweke wewe,
Miye nipo na Kaizer Chiefs
"Mamelodi na Al Ahly lazima wataceza fainali" - Hersi, Rais wa YangaNa si lazima tuwe sawa,kwani tumekuwa pundamilia sisi?
We weka ya hiyo Simba yako
Kama sisi Yanga tusivyosumbuliwa na kelele za mashabiki mambumbumbu ndio maana tunawatwanga watu 4G na 5G bila kujali utaifa wao wala rangi.Waulize hao kaizer Chiefs pamoja na wao kuwa washabiki wengi kuzidi wa Sundowns Huwa kinatokea Nini wakikutana na the Brazilians?
Mamelodi hawasumbuliwi na kelele za mashabiki quality yao ipo juu kuzidi vilabu vingi Afrika hii.
Wapeni heshima na Yanga itabidi acheze kwa tahadhari, hao siyo Medeama jamani!
yani utasema wengine hawapo! naona hata CAF wanajiulizaTangu draw ifanyike jana ni mechi moja tu inazungumziwa midhili ya fainali bila shaka fainali imekuja mapema Tanzanian champion v South African champion .
hizo ni timu ambazo hazipataniMashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili
Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana
Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za kiufundi na kifedha Yanga washindwe wao tu
Kuna Yellow Nations Moja tu Afrika nayo ni Dar Young Africans
Waleteni hao watoto wa madiba
Vamos Yanga
View attachment 2933670View attachment 2933670