Mashabiki wa Kaizer waliamua kushangilia Young Africans

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Yanga walicheza mpira mkubwa hadi mashabiki wa Kaizer chiefs walipokuwa wakizomea Kwa nguvu mwanzoni mwa mchezo walianza kushangilia Kwa nguvu. Hakika hii ni ajabu katika mpira, team ipo kwao ila wanashangilia mpinzani.

Hii ilitokea Santiago Benabeu Pale mashabiki wa Real Madrid walipo mshangilia Gaucho na baadae Messi.

Usharudi wangu Kwa Simba tarehe 8, andaeni makolo yenu mkashangilie Yanga mpira safi wa Pacome, Aziz, Chama, Maxi, Baka n.k.

Sisi ni watani sio mahasimu 😅
 
Lakini TV ilikuwa haioneshi hilo!
 
Back
Top Bottom