sanda ikinuna imenuna...Batiki likisema limesema
Sanda FC.Batiki likisema limesema
Lakini TV ilikuwa haioneshi hilo!Yanga walicheza mpira mkubwa hadi mashabiki wa Kaizer chiefs walipokuwa wakizomea Kwa nguvu mwanzoni mwa mchezo walianza kushangilia Kwa nguvu. Hakika hii ni ajabu katika mpira, team ipo kwao ila wanashangilia mpinzani.
Hii ilitokea Santiago Benabeu Pale mashabiki wa Real Madrid walipo mshangilia Gaucho na baadae Messi.
Usharudi wangu Kwa Simba tarehe 8, andaeni makolo yenu mkashangilie Yanga mpira safi wa Pacome, Aziz, Chama, Maxi, Baka n.k.
Sisi ni watani sio mahasimu 😅