Ungeyataja tuyajadili ungefanya la mbolea.mh jamaani msisahau ishu nyingine kikwete kafanya mengi tuu
Amejenga MACHINGA COMPLEX..mbona yako mengi tu...! tumeona mawaziri wakining'inizwa mahakamani....
aaaah wapi, kilwa road barabara mbovu kabisa tupa huko, UDOM majengo ya nssf hakuna kitu hapoAWAMU YA KIKWETE
1.Amejenga Chuo Kikuu Cha Dodoma
2.Barabara ya Kilwa Road
3.....
safari za kuhemea na kurudi na kibaba bila aibu wala soniAmejenga MACHINGA COMPLEX..mbona yako mengi tu...! tumeona mawaziri wakining'inizwa mahakamani....
Huo usanii. Usitaje kesi zilizoko mahakamani, eleza kati ya kesi zilizopelekwa mahakamani ni zipi zimefanikisha azma kama si USANII?Amejenga MACHINGA COMPLEX..mbona yako mengi tu...! tumeona mawaziri wakining'inizwa mahakamani....
Ametia aibu!! anaanguka!!!! hii ndo so kuliko zote. Ndo maana sukari iliyokuwa ikinunuliwa sh. 460/= wakati anaingia madarakani, kwa sasa hivi inanunuliwa shs. 1,800/= kwa kilo moja !! tuko kama wasomali!Aibu tupu. wa TZAmeongoza kwa kuanguka aguka hadharani na kuzimika mithili ya KIFAULONGO.
Unajua kinachonichekesha ni hili la kusema amepeleka mawaziri mahakamani, ina maana tulitegemea nini kifanyike? Na hao wanaodaiwa kuwa mawaziri hakuna aliyekuwa waziri wakati anakamatwa na ofcourse mnajikuta automatically mnajileta wenyewe kwenye source as to who had the balls to expose ufisadi uliofanywa na hao mawaziri wastaafu!!!!!!!!
Ungeyataja tuyajadili ungefanya la mbolea.
1.Ameweza kuanzisha "Election Expences ACT,2010
2.Amefanikiwa kushinda marais wote waliotangulia katika kutekeleza ilani ya SADC na AU ya "Equal representation between men and women (50-50)
3.Amefanikiwa kulifanya bunge la jamhuri ya muungano kuwa la kisasa na la demokrasia zaidi (udikiteta uliokuwa ndani ya bunge umeondolewa)
4.Amefanikiwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa uanzishaji wa nyama vya akiba na mikopo (SACCOS)
NB: YOU SHOULD UNDERSTAND THAT DEVELOPMENT IS A MULTI-DIMENSIONAL CONCEPT

Mkuu, haya ndiyo mafanikio ya thithiem. Kwanza imewafanya watu wawe wajinga zaidi ili wasiweze kutambua mabaya. HUUNI MSIBA WA WATANZANIA.
1.Ameweza kuanzisha "Election Expences ACT,2010
2.Amefanikiwa kushinda marais wote waliotangulia katika kutekeleza ilani ya SADC na AU ya "Equal representation between men and women (50-50)
3.Amefanikiwa kulifanya bunge la jamhuri ya muungano kuwa la kisasa na la demokrasia zaidi (udikiteta uliokuwa ndani ya bunge umeondolewa)
4.Amefanikiwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa uanzishaji wa nyama vya akiba na mikopo (SACCOS)
NB: YOU SHOULD UNDERSTAND THAT DEVELOPMENT IS A MULTI-DIMENSIONAL CONCEPT
Alienda kuomba-omba NETI kwa BushAWAMU YA KIKWETE
1.Amejenga Chuo Kikuu Cha Dodoma
2.Barabara ya Kilwa Road
3.....
Huu sasa ni utani, barabara amabayo haifiki hata km 10, nayo inahesabiwa ni mafanikio ya miaka mitano ya awamu ya nne??????
Ungelikuwa na hata tone la haya aibu lililobaki, basi ungelikuwa mkweli na kuzitaja barabara zilizojengwa kwenye utawala wa awamu ya 4. Hiyo kwa kizungu wanasema "asking for too much" kutoka kwenu nyie watu msiokuwa na haya wala aibu. :mad2: