Elections 2010 Mashabiki wa Kikwete Tuambieni!!!

Amejenga MACHINGA COMPLEX..mbona yako mengi tu...! tumeona mawaziri wakining'inizwa mahakamani....
Huo usanii. Usitaje kesi zilizoko mahakamani, eleza kati ya kesi zilizopelekwa mahakamani ni zipi zimefanikisha azma kama si USANII?

Umemsikia akiwasifia watuhumiwa kuwa wachaguliwe na wananchi eti 'tuache yaliyo pita!! huko ndo kuninginiza mawaziri mahakamani? Mbona una uwezo mdogo wa kupima mambo?
 
Unajua kinachonichekesha ni hili la kusema amepeleka mawaziri mahakamani, ina maana tulitegemea nini kifanyike? Na hao wanaodaiwa kuwa mawaziri hakuna aliyekuwa waziri wakati anakamatwa na ofcourse mnajikuta automatically mnajileta wenyewe kwenye source as to who had the balls to expose ufisadi uliofanywa na hao mawaziri wastaafu!!!!!!!!
 
Ameongoza kwa kuanguka aguka hadharani na kuzimika mithili ya KIFAULONGO.
Ametia aibu!! anaanguka!!!! hii ndo so kuliko zote. Ndo maana sukari iliyokuwa ikinunuliwa sh. 460/= wakati anaingia madarakani, kwa sasa hivi inanunuliwa shs. 1,800/= kwa kilo moja !! tuko kama wasomali!Aibu tupu. wa TZ
 
Unajua kinachonichekesha ni hili la kusema amepeleka mawaziri mahakamani, ina maana tulitegemea nini kifanyike? Na hao wanaodaiwa kuwa mawaziri hakuna aliyekuwa waziri wakati anakamatwa na ofcourse mnajikuta automatically mnajileta wenyewe kwenye source as to who had the balls to expose ufisadi uliofanywa na hao mawaziri wastaafu!!!!!!!!

Mkuu, haya ndiyo mafanikio ya thithiem. Kwanza imewafanya watu wawe wajinga zaidi ili wasiweze kutambua mabaya. HUUNI MSIBA WA WATANZANIA.
 
Ungeyataja tuyajadili ungefanya la mbolea.

1.Ameweza kuanzisha "Election Expences ACT,2010

2.Amefanikiwa kushinda marais wote waliotangulia katika kutekeleza ilani ya SADC na AU ya "Equal representation between men and women (50-50)

3.Amefanikiwa kulifanya bunge la jamhuri ya muungano kuwa la kisasa na la demokrasia zaidi (udikiteta uliokuwa ndani ya bunge umeondolewa)

4.Amefanikiwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa uanzishaji wa nyama vya akiba na mikopo (SACCOS)

NB: YOU SHOULD UNDERSTAND THAT DEVELOPMENT IS A MULTI-DIMENSIONAL CONCEPT
 
Mkuu bado unaunga unga!!!!!!!!!!
 
Mie namsifu kwa hili hapa chini: WALAU YEYE KAWA MKWELI.

attachment.php

Last edited by a moderator:
1.Ameweza kuanzisha "Election Expences ACT,2010

2.Amefanikiwa kushinda marais wote waliotangulia katika kutekeleza ilani ya SADC na AU ya "Equal representation between men and women (50-50)

3.Amefanikiwa kulifanya bunge la jamhuri ya muungano kuwa la kisasa na la demokrasia zaidi (udikiteta uliokuwa ndani ya bunge umeondolewa)

4.Amefanikiwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa uanzishaji wa nyama vya akiba na mikopo (SACCOS)

NB: YOU SHOULD UNDERSTAND THAT DEVELOPMENT IS A MULTI-DIMENSIONAL CONCEPT

du masikini tunaungaunga kishenzi! ukweli ni kuwa kafanya haya
Katuletea maximo na mpira juu ccm oyeeee
Lichuo la UDOM
Uhuru wa kuongea
Maisha bora sana kwa kila mtz
KAsi zaidi hali zaidi na Nguvu zaidi
mbu net toka marekani
Maji ya wachina
Umeme wa richmond
wawekezaji zaidi
Nk
ccm oyeeee
:confused2:
Umeme wa richmond
 
Ame differentiate Constant Number,
And amekuwa akijaribu kutafuta Average of Average for the whole term........
 
Mkuu, haya ndiyo mafanikio ya thithiem. Kwanza imewafanya watu wawe wajinga zaidi ili wasiweze kutambua mabaya. HUUNI MSIBA WA WATANZANIA.

hilo unaliona mkuu ee, yaani watanzania wamepumbazishwa na hawajitambui, inaumiza sana.
 
1.Ameweza kuanzisha "Election Expences ACT,2010

2.Amefanikiwa kushinda marais wote waliotangulia katika kutekeleza ilani ya SADC na AU ya "Equal representation between men and women (50-50)

3.Amefanikiwa kulifanya bunge la jamhuri ya muungano kuwa la kisasa na la demokrasia zaidi (udikiteta uliokuwa ndani ya bunge umeondolewa)

4.Amefanikiwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa uanzishaji wa nyama vya akiba na mikopo (SACCOS)

NB: YOU SHOULD UNDERSTAND THAT DEVELOPMENT IS A MULTI-DIMENSIONAL CONCEPT

Kuuza Bank zetu kwa wawekezaji na kutuanzishia sisi wazawa SACCOS ni akili au matope?
 
Ruanda ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini wana vibrant AIRLINE[Rwandair] Kikwete ameua Air Tanzania kwa kumteua Kawambwa kuwa waziri wa miundombinu!!
 
kwa kweli serikali ya awamu ya nne imefanya yafuatayo
1.kuongeza migomo ya wasomi wa vyuo vikuu na wafanyakazi wa serikali
2.kutumia fedha nyingi kumsafirisha raisi kutalii kona zote za dunia,mtu gani hatulii nchini kwake ndo maana anaanguka ovyo
3.amesaidia kusapoti mafisadi kwa asilimia kubwa pasipo wananchi kujua.
 
Huu sasa ni utani, barabara amabayo haifiki hata km 10, nayo inahesabiwa ni mafanikio ya miaka mitano ya awamu ya nne??????

Ungelikuwa na hata tone la haya aibu lililobaki, basi ungelikuwa mkweli na kuzitaja barabara zilizojengwa kwenye utawala wa awamu ya 4. Hiyo kwa kizungu wanasema "asking for too much" kutoka kwenu nyie watu msiokuwa na haya wala aibu. :mad2:
 
Mbona rahisi tu mkuu, tutajie sio kulia lia!!!!!!!!!!!!!! asking for too much from who????????? Nini kazi za serikali?
 
Back
Top Bottom