Elections 2010 Mashabiki wa Kikwete Tuambieni!!!

1, ni handsome kuliko marais waliomtangulia.
2, mauaji ya albino wkt wa uongozi wake.
3, hajawahi kununa.
4, watoto wake ni maarufu kuliko watoto wa marais waliomtangulia.
5, anaongoza kwa kudanganywa kuliko rais yeyote duniani.
6, rais wa kwanza kumuona obama kwa kumvizia.
 
Aliatuahidi kuteleta real madrid na taifa stars kwenda ghana lakini hakutekeleza
 
Ruanda ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini wana vibrant AIRLINE[Rwandair] Kikwete ameua Air Tanzania kwa kumteua Kawambwa kuwa waziri wa miundombinu!!

Yaleyale, hafai kwa kuwa Muislam?
 
Wataendelea kuunga-unga tu..
 
Mbona rahisi tu mkuu, tutajie sio kulia lia!!!!!!!!!!!!!! asking for too much from who????????? Nini kazi za serikali?

Teh teh teh. Mpaka sasa hivi hujawaona wanaolia kwenye forum hii? :becky: :becky: :becky:
 
  • Kuanzishwa kwa Miradi ya maendeleo kama DECI.
  • Ajira 1.5mil zikiwamo za kuokota chupa barabarani.
  • Kusimamia ongezeko la Bidhaa 'Orijino' kutoka China
  • kufunguliwa kwa Masoko ya viungo vya Albino ndani na nje ya Nchi.
  • Ongezeko la vyuo visivyo sajiliwa
  • Uundwaji wa vyombo vya Habari vya CCM kama TBC0 na DilyNews
  • Kuanzishwa kwa Michezo ya maigizo Mahakamani
 
dah kweli hafai.
Wewe MS unaposema kapunguza udini una uhakika usemacho? amejitahidi kuutukuza udini kuliko rais yeyote
 
zis sred has made ma day kwi kwi kwiiiiii. Watz kweli mwaka huu kazi ya 31 Oktoba imepata watendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…