kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?