Mashabiki wa Liverpool Msijifanye Mko Bize na Video za Yule Bwana, Barca Wamewafata Kwenu

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
472
Reaction score
423
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
 
Wewe unashabikia ubakaji eh?au hujui kama barca wata mbaka mtu leo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hebu waoneeni huruma hawa ndege [emoji239][emoji239][emoji239]wa malikia,mpaka saa hizi washaloa na mvua.hawajiwezi.halafu mnawaletea na wabakaji kutoka catalunya.[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu rudia kuongea!!??[emoji23][emoji23][emoji23]soma hiyo dakika ya 56 tayari barcelona 0-3 liverpool
 
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
Mkuuuu hapo ulipo unatamani saaa irudi nyuma au siyo. Cant walk alone forever, manina zako.
 
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?

Tumekusikia mzee baba
 
Tumeshachoka ya Liverpool, tunataka mkanda wa nabii msanii Gwajima anavyosededeka na muumini wake. Kwa kweli Makonda si mtu mzuri hata kidogo, alijuwa fika kabisa kuna mkanda wa msanii Gwajima unatoka hivi karibuni hivyo akaenda kumpa pole ya kisanii kanisani kwake huku akimcheka moyoni.
 
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
Wameshafika Anfield?
 
Miujiza tuliyotarajia imetokea.
 
Back
Top Bottom