Mashabiki wa Man City mtarudi kwenye Klabu zenu za zamani?

Mashabiki wa Man City mtarudi kwenye Klabu zenu za zamani?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
167334.jpg
167331.jpg
 
Charges nyingi sana.
Miaka 9 mfululizo is not a Joke.

Hata wakikata Rufaa.. bado kitawalamba tu.

kwanza watatoboka sana kulipa fine.
Ila sioni adhabu ya kunyanganywa Ubigwa waliochukua kwa miaka hiyo.

Ila Naona watapokonywa point zaid ya 30 msimu huu.
Au kushushwa daraja.
Hapa naona watafanya deal

Kwamba wafutwe mataji yote ila wabakie EPL
 
Back
Top Bottom