Mashabiki wa Man Utd wa Bongo tu ndio wanataka Man City ashinde leo pale Old Traford

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
Nimechungulia comments za page nyingi za mitandao ya kijamii za mashabiki wa klabu ya Manchester United (page za Internationals&Britons) wengi wa mashabiki kama sio wote katika page hizo wanataka Manchester United ashinde leo katika mechi yake dhidi ya Manchester city katika uwanja wa Old Traford, Ushindi ambao utashuhudia kwa kiasi kikubwa Liverpool akichukua ubingwa kwa mara ya kwanza mara baada ya miaka thelathini dhidi ya manchester City kwa sababu Liverpool atakuwa na edge ya point mbili dhidi ya Man City provided akishinda mechi zote alizobakiza katika ligi msimu huu(na ni mechi tatu tu na zote mechi ndogo)

Ot.PNG
 
Man City anashinda kwani uwezo anao. Hata jijini Manchester, mashabiki wengi wa Utd wanaomba City ashinde ili Livakuku asitwae ndoo!
 
Nimechungulia comments za page nyingi za mitandao ya kijamii za mashabiki wa klabu ya Manchester United (page za Internationals&Britons) wengi wa mashabiki kama sio wote katika page hizo wanataka Manchester United ashinde leo katika mechi yake dhidi ya Manchester city katika uwanja wa Old Traford, Ushindi ambao utashuhudia kwa kiasi kikubwa Liverpool akichukua ubingwa kwa mara ya kwanza mara baada ya miaka thelathini dhidi ya manchester City kwa sababu Liverpool atakuwa na edge ya point mbili dhidi ya Man City provided akishinda mechi zote alizobakiza katika ligi msimu huu(na ni mechi tatu tu na zote mechi ndogo)

View attachment 1079874
Kuna wish za Ole na Mashabiki. Mashabiki kindakindaki wa Man U wanataka City ashinde
 
Yeah lazima Man city ashinde.
#the Citizens[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Nimechungulia comments za page nyingi za mitandao ya kijamii za mashabiki wa klabu ya Manchester United (page za Internationals&Britons) wengi wa mashabiki kama sio wote katika page hizo wanataka Manchester United ashinde leo katika mechi yake dhidi ya Manchester city katika uwanja wa Old Traford, Ushindi ambao utashuhudia kwa kiasi kikubwa Liverpool akichukua ubingwa kwa mara ya kwanza mara baada ya miaka thelathini dhidi ya manchester City kwa sababu Liverpool atakuwa na edge ya point mbili dhidi ya Man City provided akishinda mechi zote alizobakiza katika ligi msimu huu(na ni mechi tatu tu na zote mechi ndogo)

View attachment 1079874
We Mzee,weka link tushuhudie wenyewe
 
Kifupi hapa man u ni kama wameambiwa huku kufa huku kutoa tako!! Akifungwa leo mashabiki wa man city watatamba saana man u huko kwenye mashabiki hasa wa man city, mashabiki wa man u watapata tabu saana, hawa mashabiki wa bongo wanaombea man city ishinde ni kwa sababu tz hakuna mashabiki wengi wa man city ila ndani ya jiji la Manchester mashbiki w man u wako dilemma..

Na wakishinda leo man u basi watapa tabu toka kwa liver..

Basi ni adha tu, ukisimama nchale, ukikaa nchale.
 
Back
Top Bottom