Mashabiki wa Man Utd wa Bongo tu ndio wanataka Man City ashinde leo pale Old Traford

Mashabiki wa Man Utd wa Bongo tu ndio wanataka Man City ashinde leo pale Old Traford

mtoa mada umefuatilia ata malegendary wa Utd wanavyosema au kujichukulia?? huo mtandao ulioingia n washabik makindakinda yaan watt wadogo na washabik wa City Paul Scholes kawaambia Utd km n sahihi walitaka kushindana wangepania kwa Wolves,Arsenal na Everton co kwnd kumsaidia Liverpool
 
utakuwa mshabiki wa liverfools wew....kifupi ni kwamba pambana na hali yako sisi leo tunapigwa tatu na city na kombe wanabebaa....for me mara elfu moja city achukue kuliko nyie vilaza....viva Man U ushind kwa city leo.
 
Nimechungulia comments za page nyingi za mitandao ya kijamii za mashabiki wa klabu ya Manchester United (page za Internationals&Britons) wengi wa mashabiki kama sio wote katika page hizo wanataka Manchester United ashinde leo katika mechi yake dhidi ya Manchester city katika uwanja wa Old Traford, Ushindi ambao utashuhudia kwa kiasi kikubwa Liverpool akichukua ubingwa kwa mara ya kwanza mara baada ya miaka thelathini dhidi ya manchester City kwa sababu Liverpool atakuwa na edge ya point mbili dhidi ya Man City provided akishinda mechi zote alizobakiza katika ligi msimu huu(na ni mechi tatu tu na zote mechi ndogo)

View attachment 1079874
Weka hapa screenshot za comments za hao mabeberu
 
utakuwa mshabiki wa liverfools wew....kifupi ni kwamba pambana na hali yako sisi leo tunapigwa tatu na city na kombe wanabebaa....for me mara elfu moja city achukue kuliko nyie vilaza....viva Man U ushind kwa city leo.

I'm so happy kamanda wangu 😀😀
 
Back
Top Bottom