Kuna wish za Ole na Mashabiki. Mashabiki kindakindaki wa Man U wanataka City ashindeNimechungulia comments za page nyingi za mitandao ya kijamii za mashabiki wa klabu ya Manchester United (page za Internationals&Britons) wengi wa mashabiki kama sio wote katika page hizo wanataka Manchester United ashinde leo katika mechi yake dhidi ya Manchester city katika uwanja wa Old Traford, Ushindi ambao utashuhudia kwa kiasi kikubwa Liverpool akichukua ubingwa kwa mara ya kwanza mara baada ya miaka thelathini dhidi ya manchester City kwa sababu Liverpool atakuwa na edge ya point mbili dhidi ya Man City provided akishinda mechi zote alizobakiza katika ligi msimu huu(na ni mechi tatu tu na zote mechi ndogo)
View attachment 1079874
City akishashinda , unywe kinywaji chochote nakuja kulipa.Kuna wish za Ole na Mashabiki. Mashabiki kindakindaki wa Man U wanataka City ashinde
City akishashinda , unywe kinywaji chochote nakuja kulipa.
Na wewe pia, yaani utanitupia tuu location nitakuja kulipa.Na Mimi basi daaah Muda sijapata kinywaji chochote
[emoji122] [emoji122] [emoji2] [emoji2]City akishashinda , unywe kinywaji chochote nakuja kulipa.
Man u lazima wamzuie man cityCity akishashinda , unywe kinywaji chochote nakuja kulipa.
Wamzuie kushinda? [emoji23][emoji23][emoji23].Man u lazima wamzuie man city
Tubet,man u akishinda turudianeWamzuie kushinda? [emoji23][emoji23][emoji23].
Una utani wewe.
Sawa Man u akishinda tutarudiana.Tubet,man u akishinda turudiane
Chagua wwSawa Man u akishinda tutarudiana.
Asiposhinda jee?
Kama kweli vileNa wewe pia, yaani utanitupia tuu location nitakuja kulipa.
We Mzee,weka link tushuhudie wenyeweNimechungulia comments za page nyingi za mitandao ya kijamii za mashabiki wa klabu ya Manchester United (page za Internationals&Britons) wengi wa mashabiki kama sio wote katika page hizo wanataka Manchester United ashinde leo katika mechi yake dhidi ya Manchester city katika uwanja wa Old Traford, Ushindi ambao utashuhudia kwa kiasi kikubwa Liverpool akichukua ubingwa kwa mara ya kwanza mara baada ya miaka thelathini dhidi ya manchester City kwa sababu Liverpool atakuwa na edge ya point mbili dhidi ya Man City provided akishinda mechi zote alizobakiza katika ligi msimu huu(na ni mechi tatu tu na zote mechi ndogo)
View attachment 1079874
Duuuh mi nitakupumia hela ya Malawi kwaajili ya kulipia hicho kinywaji atakuja nayo alie kuna huku kutusalimiaCity akishashinda , unywe kinywaji chochote nakuja kulipa.