nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
nawashauri waache,hao wachezaji huwa hadi wanakunja sura ukiachilia kwasi,gyan na kagere ambao huwa atleast wana smile na kupunga mikonoHujaeleweka, unawashauri wa mikoani waache kusalimia au unawashauri wachezaji waitike salamu?
nawashauri waache,hao wachezaji huwa hadi wanakunja sura ukiachilia kwasi,gyan na kagere ambao huwa atleast wana smile na kupunga mikono
huwa nashangaa sana lakini wakiwa dar wanacheka na mashabiki kabisa huko mikoani wanakunja suraNi nchi zetu za tatu tu bosi, Ulaya kwenye mikataba yao kunakuwa na clauses ambazo zinamlazimisha mchezaji kuwa friendly kwa washabiki.
Kumbuka, bila sisi mashabiki wao si kitu, wanacheza kwa ajili yetu, wanatakiwa kuwa connected na sisi ndani na nje ya uwanja.
hahahaha mimi siyo manara bwana ila nachukia sana majitu yanashangiliwa eti yapo busy na earphones hata kupunga mkono hawataki subiri nitaongea na wanangu wa ma group zianze kampeni za kuwasusia watashangiliwa uwanjani tu yaani mpira hata ukiisha huwa hafanyi ku aknowledge washabiki kuzunguka na kupiga nao makofi,YAKO KAMA MAROBOT UTADHANI YAMELAZIMISHWA VILE KUWA KWENYE HIZO TEAMS.Huwa naona wachezaji washamba tu,hii ndo bongo. Haiwezekani maraia wana-show love halafu mnadengue. Mmekuwa wanaume wa Dar nyinyi. Manara wape kavu hao madogo
dah ndugu yangu hao mashabiki wanaoshinda barabarani na kwenye ngazi za milango ya hotel kushangilia ndo wana stress zaidi,tena bora hata useme yanga wana stress siyo simba nikingaliaga yanga wanavyopokelewa kuna unafuu sana wa response kuliko simba naweza kusema kwamba wachezaji wa simba ya sasa wanaringa sana na kujisikia haswa mkude.Nimekubali hili diss wasipolielewa Basi watakuwa wabishi kinoma
Seema kwa upande mwingine inaashiria Wana stress Sana wachezaji wetu.na wasanii wetu.na viongozi wetu
huwa nashangaa sana lakini wakiwa dar wanacheka na mashabiki kabisa huko mikoani wanakunja sura
nini tena? ni bora ningalie yanga wakipokelewa mikoani wanaonyesha ushirikiano kidogo na mashabiki kuanzia kocha wao yule chizi zahera,ku smile na kupungia mashabiki ila wachezaji wetu huwa wananiudhi sana kama Arusha ,mkude alizunguka nyuma ya basi kazunguuuka mbali mlango mwingine eti anakwepa kero ya mashabikimikia FC akili zenu buana.
Uko sahihi sana,angalia hata samatta na msuva wakirudi bongo wanavyo interract na mashabiki na waandishi kuna utofauti unaona wamejifunza mengi huko walipo na pia nimsifu sana kocha wa yanga Zahera kwa interaction yake na washabiki huko mikoani.Ni kutojielewa, pia mpira wetu bado hatujaamua kuufanya kama profession.
Ndiyo maana hata mikataba ya wachezaji ni utata, nidhamu za wachezaji ni utata, interviews wachezaji wanaweza kuamua wafanye au wasifanye nk nk.
Professional Sports iko owned na washabiki, bila sisi hakuna kiingilio, hakuna broadcasting contracts, hakuna hela kutoka kwa wadhamini, na mwisho wa siku wao hawatalipwa na hivyo hawatacheza.
Yanga timu ya wananchi. . Usifananishe na watu waliokuwa wanaunga mkono wakoloninini tena? ni bora ningalie yanga wakipokelewa mikoani wanaonyesha ushirikiano kidogo na mashabiki kuanzia kocha wao yule chizi zahera,ku smile na kupungia mashabiki ila wachezaji wetu huwa wananiudhi sana kama Arusha ,mkude alizunguka nyuma ya basi kazunguuuka mbali mlango mwingine eti anakwepa kero ya mashabiki
Team ya wananchi inakusanya milioni 22 ya kapu kwa miezi mitatu?tasaf fcYanga timu ya wananchi. . Usifananishe na watu waliokuwa wanaunga mkono wakoloni
Hadi Zana Coulibaly huwa anakausha!! Wewe utakua wa upande wa piliģnawashauri waache,hao wachezaji huwa hadi wanakunja sura ukiachilia kwasi,gyan na kagere ambao huwa atleast wana smile na kupunga mikono