nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Najua ni mahaba yenu na support kwa team mnazozipenda za simba na yanga ila hawa wachezaji kwao wanaona ni shobo na kero
Nitolee mfano wa team yangu simba,ukitoa Kagere ,kwasi na Gyan wengine waliobaki hata kupunga mkono huwa hawàtaki,team imeshuka kwenye basi wanaingia hotelini,kina mama ,watoto na manjemba yana scream kwa furaha wakitaja majina yenu hata mkono hamtaki kupunga
Niliona ile ya Arusha,mkude kashuka kazunguka kwa nyuma eti anawakimbia mashabiki,sijui ile mikonyagi ilikuwa iko kichwani?