Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.

Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
 
Wakuu mtani samehe na mahaba na Vasco Dagama.
20221210_154345.jpg
 
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.

Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Yaani unaonekana hata mechi za Morocco huangalii ww ungekuwa unaangalia usinge andika utopolo huu team iliyoruhusu goal moja tu kwenye world cup huo ujasiri sijui mnautoa wapi yaani mkiona team ina messi Ronaldo au neymar basi mnaamini itashinda kama hao wengine ni viwete vile.
 
Acha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
 
Waliokoswa sana ni Ureno na wala sio Morocco. Labda kama haujaangalia mpira

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom